Polepole umepuuzwa vya kutosha, chukua hatua

Polepole umepuuzwa vya kutosha, chukua hatua

Ningekuwa na wewe vitani ningegeuka nikamalizana na wewe kwanza alafu nikaanza mapambano ya pekee. Yaani leo mtu kachukua fomu tayari mshaanza kumshambulia HP ...mbona mnakuwa kama waisraeli wakitoka misri, yaani walimsahau Mungu aliyewatoa kwa Farao, akawavusha Jordani lakini bado waliona Mungu anazingua. Kwanini mwakata tamaa bado asubuhi hivi?
Hatumshambulii bali tunafanya tafakuri. Kabla ya kuanza vita Polepole alipaswa kufanya uchambuzi wa kina wa namna ya kumvaa huyu bibi. Kama alikurupuka atashindwa vita na dhihaka zitaenda kwake (Polepole). Akishinda ataitwa shujaa.
 
Polepole siyo wa kuaminika, ni wale wale
Anatupotezea mabando yetu tu
Polepole nadhani alitangulizwa na giants fulani waliotarajia Samia atatetemeka baada ya kuona press ya kwanza, lkn mwanamke mzanzibari akakaza.

Press ya pili mwanamke mzanzibari akaendelea kukaza mpk hivi leo amechukua fomu.

Sasa je, Polepole na wenzake watafanya nn? Kama mbinu zimewaishia basi Polepole imekula kwake.
Namsihi polepole Kwa unyenyekevu mkubwa, maboya yatoke yafanye kazi yake . Huu siyo muda wa kuchekeana tena
 
Ningekuwa na wewe vitani ningegeuka nikamalizana na wewe kwanza alafu nikaanza mapambano ya pekee. Yaani leo mtu kachukua fomu tayari mshaanza kumshambulia HP ...mbona mnakuwa kama waisraeli wakitoka misri, yaani walimsahau Mungu aliyewatoa kwa Farao, akawavusha Jordani lakini bado waliona Mungu anazingua. Kwanini mwakata tamaa bado asubuhi hivi?
Too much explanation, we need some action
 
Isije ikawa tu maboya ni yeye kujiunga Chauma.
Hahahaha. Atakuwa ametunyosha wavivu wa kuchukua Hatua za umma Kwa nguvu moja kutegemea Mnec mmoja kututatulia matatizo yetu
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Tueleweshe basi,maana me naona kama mmepoteana.
Kuanzia April mnatupa matumaini wee ila wahuni mipango yao inaendelea kama kawaida tu,tuelewesheni mnavoelewa nyie roho zitulie.
Yawezekana ni SIRI hawataki tujue process wanataka tuone effect tu. Sintofahamu!
 
INFACT POLEPOLE ANA TATIZO LA MWEZI MCHANGA,
"Kimemuwaka mpaka kaacha kazi yake ya heshima kubwa kabisa"
Anatatizo!,asaidiwe mtaalamu wa maswala ya kisaikolojia 😄
Niliwahi kuongea na Mtu mmoja alikuwa ananisimulia namna anavyoumia akiona watu wanangimbana. Nahisi pole pole anaumia akiona wengine wanatenda maovu juu ya wengine. Lakini yeye alipokuwa anatenda na Magufuli ilikuwa Sawa. Nasihi Sana pole pole atubu kabisa Kwa yale aliyavumilia ili nea Yake njema isafishike
 
Hatumshambulii bali tunafanya tafakuri. Kabla ya kuanza vita Polepole alipaswa kufanya uchambuzi wa kina wa namna ya kumvaa huyu bibi. Kama alikurupuka atashindwa vita na dhihaka zitaenda kwake (Polepole). Akishinda ataitwa shujaa.
Kwamba hajafanya tathmini ya kina kabla?. Tutajuaje?
 
Tangia lini kelele za chura zikamzuia tembo kunywa maji?
Lakini zina disturb na ukishindwa kizizibiti, hutakunywa maji Kwa amani. Matoke Yake unapoteza kwelekeo na kushindwa kukata kiu
 
Niliwahi kuongea na Mtu mmoja alikuwa ananisimulia namna anavyoumia akiona watu wanangimbana. Nahisi pole pole anaumia akiona wengine wanatenda maovu juu ya wengine. Lakini yeye alipokuwa anatenda na Magufuli ilikuwa Sawa. Nasihi Sana pole pole atubu kabisa Kwa yale aliyavumilia ili nea Yake njema isafishike
Ni kweli Pole pole kupata uhalali na tumuani atubu kwanza yeye enzi zake na mjomba wake JPM waliumiza watu alikuwa kafunga matako # huyu jamaa ni mnafiki tu atubu kwanza
 
Kwann hawana Uwezo wa Kumshughulikia Polepole?.

Nimewambia Jana na na Leo Narudia, Sarakasi za Samia Suluhu na genge lake, MWISHO WAKE NI HUU, HAWANA NAMNA YOYOTE YA KUWAWEZESHA KUVUKA HUU MWAKA.

HAWANA, NARUDIA HAWANA, NARUDIA TENA HAWANAAAAA !!.

Soon mtaielewa Nguvu iliyopo.
ushakuwa mtabili nyota sio
 
Niliwahi kuongea na Mtu mmoja alikuwa ananisimulia namna anavyoumia akiona watu wanangimbana. Nahisi pole pole anaumia akiona wengine wanatenda maovu juu ya wengine. Lakini yeye alipokuwa anatenda na Magufuli ilikuwa Sawa. Nasihi Sana pole pole atubu kabisa Kwa yale aliyavumilia ili nea Yake njema isafishike
Huyu jamaa na magufuli wake walitufanyia uovu ulio mkuu sana,ni vile watu husahau,na vijana wa chadema kwa ujinga wao wa kudandia kila wanaloliona lina mrengo wao! Au litawasaidia.
UKITAKA KUWA RAFIKI WA CHADEMA IPONDE SEREKALI,WOTE WATAKUONA WEWE NDIYO MTU SAFI KABISA, HOVYO SANA!
 
Anatupotezea mabando yetu tu

Namsihi polepole Kwa unyenyekevu mkubwa, maboya yatoke yafanye kazi yake . Huu siyo muda wa kuchekeana tena
Watu walijuwa ana jeshi 😄
Au tag 😄
Press za mtandaoni ziwazuiee hawa wasichkue fomu

Ova
 
Back
Top Bottom