Polepole umepuuzwa vya kutosha, chukua hatua

Sina mengi Sana Wana JF
Bandiko langu ni kumsihi ndugu yetu Kwanza atubu waliyofanya na Magufuli ya kinyume na katiba.
Pili hadi sasa hivi press zake si kitu Kwa CCM, uliahidi mama asipokusikia maboya yatafanya kazi yake. Kwa sasa press zako si kitu kabisa. Chagua moja kukaa kimya au maboya yafanye kazi yake yaliyotengenezewa.
Yuko katikati ya mwamba na udongo wa moram
 
Huyu jamaa na magufuli wake walitufanyia uovu ulio mkuu sana,ni vile watu husahau,na vijana wa chadema kwa ujinga wao wa kudandia kila wanaloliona lina mrengo wao! Au litawasaidia.
UKITAKA KUWA RAFIKI WA CHADEMA IPONDE SEREKALI,WOTE WATAKUONA WEWE NDIYO MTU SAFI KABISA, HOVYO SANA!
Aliwafukuza kazi mlio forge vyeti, hapo lazima umchukie..
 
Sina mengi Sana Wana JF
Bandiko langu ni kumsihi ndugu yetu Kwanza atubu waliyofanya na Magufuli ya kinyume na katiba.
Pili hadi sasa hivi press zake si kitu Kwa CCM, uliahidi mama asipokusikia maboya yatafanya kazi yake. Kwa sasa press zako si kitu kabisa. Chagua moja kukaa kimya au maboya yafanye kazi yake yaliyotengenezewa.
Kama press zake si kitu kwa CCM mbona huwa mnahangaika kutuzimia mtandao!
 
Polepole hawezi kumtishia au kumshauri ata housegirl wake ndo aje hamshauri rais.Hii nchi imeishiwa watu wakujenga hoja hadi wanakaa wanamsikiliza mtu ambaye hana lolote lakubadilisha.Pole pole hana tofauti na yule jamaa aliyekua anajiita Kigogo kule twitter ya zamani.Hii nchi uhuru umezidi sana hadi watu wanampiga mkwara kiongozi wa nchi mtandaoni.
 
Kwann hawana Uwezo wa Kumshughulikia Polepole?.

Nimewambia Jana na na Leo Narudia, Sarakasi za Samia Suluhu na genge lake, MWISHO WAKE NI HUU, HAWANA NAMNA YOYOTE YA KUWAWEZESHA KUVUKA HUU MWAKA.

HAWANA, NARUDIA HAWANA, NARUDIA TENA HAWANAAAAA !!.

Soon mtaielewa Nguvu iliyopo.
THE FALL OF CCM 1995-2025.✍️📌
 
YEYE je?,where about saanane!
Unajua saanane alikuwa anahoji kitu gani?
Wewe bwana acha uongo na unafiki wa kujificha kila siku kwenye story ile ile , wewe una uchungu sana kuliko mkewe/ndugu/wazazi wa Saanane?

miaka nenda rudi kila siku ni hilo hilo ... amkeni acheni ujinga, taifa hili linahitaji kukombolewa, Polepole ameanzisha vuguvugu hili la kuangusha mbuyu, apewe support ya kutosha.... baadaya mbuyu kuanguka rudini kwenye siasa zenu...
 
Kama press zake si kitu kwa CCM mbona huwa mnahangaika kutuzimia mtandao!
Kama kuna wanaofanya hivyo ni woga wao tu ila nikuulize tu kwani wewe ukijua au kusikia yote utafanya nini kikubwa chakuwatingisha wakubwa walioshika mpini?.Pole pole mwenyewe kajificha kwenye kachumba anajirekodi.Kama kweli ana uchungu na anaamini na anachokisimamia yuko sahihi na sio mwoga aje awe live tuone uchungu wake.
 
Wewe bwana acha uongo na unafiki wa kujificha kila siku kwenye story ile ile , wewe una uchungu sana kuliko mkewe/ndugu/wazazi wa Saanane?

miaka nenda rudi kila siku ni hilo hilo ... amkeni acheni ujinga, taifa hili linahitaji kukombolewa, Polepole ameanzisha vuguvugu hili la kuangusha mbuyu, apewe support ya kutosha.... baadaya mbuyu kuanguka rudini kwenye siasa zenu...
Ikombolewe kwenye nini?.Hizo ni porojo za wanasiasa kupigania maslahi yao.Hakuna cha kukombolewa ni vita ya madaraka na maslahi mnayojazwa wananchi muone nchi ni mbaya kumbe hali haiko hivyo.
 
Ikombolewe kwenye kila nyanja...
 
Ikombolewe kwenye nini?.Hizo ni porojo za wanasiasa kupigania maslahi yao.Hakuna cha kukombolewa ni vita ya madaraka na maslahi mnayojazwa wananchi muone nchi ni mbaya kumbe hali haiko hivyo.
Ikombolewe kutoka kwenye mikono ya wanamtandao..
 
Polepole hawezi kumtishia au kumshauri ata housegirl wake ndo aje hamshauri rais.Hii nchi imeishiwa watu wakujenga hoja hadi wanakaa wanamsikiliza mtu ambaye hana lolote lakubadilisha.Pole pole hana tofauti na yule jamaa aliyekua anajiita Kigogo kule twitter ya zamani.Hii nchi uhuru umezidi sana hadi watu wanampiga mkwara kiongozi wa nchi mtandaoni.

Kama hamtishiki mbona huwa mnafunga Yu tube
 
Kama kuna wanaofanya hivyo ni woga wao tu ila nikuulize tu kwani wewe ukijua au kusikia yote utafanya nini kikubwa chakuwatingisha wakubwa walioshika mpini?.Pole pole mwenyewe kajificha kwenye kachumba anajirekodi.Kama kweli ana uchungu na anaamini na anachokisimamia yuko sahihi na sio mwoga aje awe live tuone uchungu wake.
Hili swali lingekuwa vyema ukajiuliza mwenyewe,kwanini unatumia nguvu kubwa kumzuia polepole asiwasiliane na wananchi kama hakuna madhara yoyote.

Na sidhani kama anayezima mtandao huwa anazima tu bila maelekezo ya mtu wa juu yake.
 
Kwann hawana Uwezo wa Kumshughulikia Polepole?.

Nimewambia Jana na na Leo Narudia, Sarakasi za Samia Suluhu na genge lake, MWISHO WAKE NI HUU, HAWANA NAMNA YOYOTE YA KUWAWEZESHA KUVUKA HUU MWAKA.

HAWANA, NARUDIA HAWANA, NARUDIA TENA HAWANAAAAA !!.

Soon mtaielewa Nguvu iliyopo.
Toka mmeanza kuogopesha watu, ivi hamjisikii aibu kudanganya!?

Hii mikwala mnampiga nani sasa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom