Polepole umepuuzwa vya kutosha, chukua hatua

Polepole umepuuzwa vya kutosha, chukua hatua

Hili swali lingekuwa vyema ukajiuliza mwenyewe,kwanini unatumia nguvu kubwa kumzuia polepole asiwasiliane na wananchi kama hakuna madhara yoyote.

Na sidhani kama anayezima mtandao huwa anazima tu bila maelekezo ya mtu wa juu yake.
Buying time and playing with us.
 
Sina mengi Sana Wana JF
Bandiko langu ni kumsihi ndugu yetu Kwanza atubu waliyofanya na Magufuli ya kinyume na katiba.
Pili hadi sasa hivi press zake si kitu Kwa CCM, uliahidi mama asipokusikia maboya yatafanya kazi yake. Kwa sasa press zako si kitu kabisa. Chagua moja kukaa kimya au maboya yafanye kazi yake yaliyotengenezewa.
Wewe umempuuza
 
Polepole nadhani alitangulizwa na giants fulani waliotarajia Samia atatetemeka baada ya kuona press ya kwanza, lkn mwanamke mzanzibari akakaza.

Press ya pili mwanamke mzanzibari akaendelea kukaza mpk hivi leo amechukua fomu.

Sasa je, Polepole na wenzake watafanya nn? Kama mbinu zimewaishia basi Polepole imekula kwake.
So it means Kuna watu humu waliotegemea kwamba SSH ataachana na mpango wa kugombea uraisi kwaajili ya kuogopa vitisho na maneno ya pole pole

Yaani laiti kama angelifanya ambavyo pole pole anavyo shauri SSH Siangeonekana kuwa ni RAISI dhaifu , na ingezidi kuwa doubt watu kuwa huyu Ni Raisi Gani anayetishika Kwa maneno tu ya mtu ambaye Hana hata nguvu ya ushawishi katika serikali yake ,

SSH asingeweza kufanya vile Pole pole alivyo shauri never

So kama kweli pole pole na crew yake wamejipanga vyema Waje walianzishw e ambush tuone what they can offer to us , besides that itakuwa ni sawa na Ile methali isemayo maneno tupu hayavunji mfupa
 
Huyu nae ndege tunduni hana maajabu.!

Unakaaje kwenye press halafu unananga kwa kujikombakomba.!

Watu wamemwaga mchuzi we mwaga nguna tena unalisotea na mawezele kabisa, mbwai iwe mbwai unakaa unapetipeti watu mbele ya msiba.!

Hata marehemu hatomsamehe
 
So it means Kuna watu humu waliotegemea kwamba SSH ataachana na mpango wa kugombea uraisi kwaajili ya kuogopa vitisho na maneno ya pole pole

Yaani laiti kama angelifanya ambavyo pole pole anavyo shauri SSH Siangeonekana kuwa ni RAISI dhaifu , na ingezidi kuwa doubt watu kuwa huyu Ni Raisi Gani anayetishika Kwa maneno tu ya mtu ambaye Hana hata nguvu ya ushawishi katika serikali yake ,

SSH asingeweza kufanya vile Pole pole alivyo shauri never

So kama kweli pole pole na crew yake wamejipanga vyema Waje walianzishw e ambush tuone what they can offer to us , besides that itakuwa ni sawa na Ile methali isemayo maneno tupu hayavunji mfupa
Upo sahihi sana..hata ingekua mie maneno tu mtu kaongea mtandaoni yanizuie kunywa maji..am sure kuna kitu ila muda ni jawabu!
 
Upo sahihi sana..hata ingekua mie maneno tu mtu kaongea mtandaoni yanizuie kunywa maji..am sure kuna kitu ila muda ni jawabu!
You know the ball

Raisi anaanzaje kutishika na maneno ya pole pole kama akitishika na maneno ya pole pole na kuachana na plan zake huyo Raisi anaweza hata kuwauza Wananchi wake Kwa mataifa hasimu ya nchi yake , Huyo sio Raisi ni goi goi ,
 
Kwann hawana Uwezo wa Kumshughulikia Polepole?.

Nimewambia Jana na na Leo Narudia, Sarakasi za Samia Suluhu na genge lake, MWISHO WAKE NI HUU, HAWANA NAMNA YOYOTE YA KUWAWEZESHA KUVUKA HUU MWAKA.

HAWANA, NARUDIA HAWANA, NARUDIA TENA HAWANAAAAA !!.

Soon mtaielewa Nguvu iliyopo.
Kunywa dawa ,,utasaula soon!!
 
Sina mengi Sana Wana JF
Bandiko langu ni kumsihi ndugu yetu Kwanza atubu waliyofanya na Magufuli ya kinyume na katiba.
Pili hadi sasa hivi press zake si kitu Kwa CCM, uliahidi mama asipokusikia maboya yatafanya kazi yake. Kwa sasa press zako si kitu kabisa. Chagua moja kukaa kimya au maboya yafanye kazi yake yaliyotengenezewa.
Kwa press ya Leo njia iliyobaki ni hiyo Tu, vaaa mabomu ulipuke nao
 
Back
Top Bottom