Polepole: Ukiwa mwadilifu tegemea vikwazo kutoka kwa wahuni

Hapa ndipo tunapofeli TZ. Kosa ni kurudia kosa. Kosa si kufanya kosa. Malaika tuwapate kutokea wapi?

Aluta continua.
Mnafiki tu huyo angekua serikalini lazima angeunga mkono Kila kitu Cha Mama Samia. Hao viongozi wa CCM sio wa kuwaamini sijui kwanini hamjifunzi tu.

Hata Mpina naye ni suala la muda tu akipewa uwaziri mtarudi hapa kulia Lia kawasaliti.
 
Waungwana hatusalitiwi na watu tunasalitiwa na hoja.

Kwa maana nyingine hatupendi Wala kuamini katika watu.

Tinapenda na kuamini katika hoja.

Endeleeni kuamini katika watu kwa maana imeandikwa: "amelaaniwa yule amtegemeaye mwanadamu!"

Hapo ndipo tunapoachana njia panda.
 
Zingatia msingi wa hoja:

"Hawapo narafiki wala maadui wa kudumu bali agenda."

Weka sasa majina ya watu kuonyesha Huko Zambia Kuna marafiki na maadui wa kudumu siyo agenda.

Tujitathimini ndugu, kwa ujinga huu hii nchi ukombozi na iusahau tu.

Kwamba kwenu aliyewahi Kuwa na msimamo tofauti Huyo ni adui wa kudumu?

Mtaicheza sana ngoma ya wasiojulikana.

Bure kabisa.
 
Hakuna hoja kama hakuna mtu, haiwezekani watu wanadai katiba mpya walipewa uongozi wapinge katiba mpya Sasa unadhani atatokea nani mwingine wa kudai wazo la katiba mpya kama watu walioasisi wazo Hilo wamesaliti?

Huyo Mpina si alikua waziri mbona sikusikia akidai katiba mpya? Leo kafukuzwa uwaziri ndio kaungana na Chadema kudai katiba mpya? Same to Polepole alidai katiba mpya alipopewa kitengo akaikana Leo Tena kaondolewa analialia katiba mpya!!

Embu tuamke jamani tutachezewa akili mpaka lini? Hata hao kina Mwabukusi sijui Madeleka ni wale wale tu kiufupi never trust mtu anayeanza kuongea baada ya kunyimwa maslahi
 
Ulichoqndika ni kama umewanukuu CCM. Hata wao wanasema hivyo hivyo lengo lao likiwa kutugawa. Kwani wewe ni mwenzao?

KA hakika bila kuamka tutachezewa kwa muda mrefu Dana.
 
Watakurudisha kaa kwa kutulia - masuala ya kufukiza kuni mbichi ili moshi uwachomoe wahuni ndani ya CCM - uyaache sasa, jifunze kusafiri na upepo wa kisulisuli.
 
Zingatia msingi wa hoja:

"Hawapo narafiki wala maadui wa kudumu bali agenda."

Weka sasa majina ya watu kuonyesha Huko Zambia Kuna marafiki na maadui wa kudumu siyo agenda.

Tujitathimini ndugu, kwa ujinga huu hii nchi ukombozi na iusahau tu.

Kwamba kwenu aliyewahi Kuwa na msimamo tofauti Huyo ni adui wa kudumu?

Mtaicheza sana ngoma ya wasiojulikana.

Bure kabisa.
Ndugu yangu sikiza,
Kwanza nimekataa huo unaoita urafiki wa muda na uadui wa muda kwa wanasiasa wetu... maana ukiwaona ni marafiki ujue raia anaibiwa wakiwa maadui ujue mmoja kanyimwa tonge... hii ni HAPANA na ni tabia ya wanasiasa wa Kenya na Tanzania.

Nimeitumia Zambia kwasababu rais wa sasa alikua mpinzani na alifanyiwa madhara lakini fuatilia utawala wake saa hizi ka anamda wa kulipiza kisasi??

Ndio siasa tunayoitaka ku focus kuwatumikia wananchi na si kutafuta ushoga kati wanasiasa.
 
Pasi na kupepesa macho dhidi ya wahuni sikia mambo:

View attachment 2685447

"Kama si fitna, zengwe au kurogwa tegemea kujikuta ana kwa ana na wasiojulikana."

Ama kwa hakika wahuni si watu wazuri!

Tumesikia wakitishiwa watu kuuwawa. Uthibitisho kuwa wahuni huupiga mwingi hadi nje ya CCM.

Tunaporumbana nao kuhusu bandari zetu, maneno ya Polepole aka kiroboto, yanaishi:

"Usiku ni kuwa macho sana!"
huyo fala anapata wapi ujasiri wa kuongea hayo maneno, amesahau uhuni walioufanya na Magufuki wake? Ndio kipindi msamiati wa watu wasiojulikana ulivoibuka. Kweli nyani haoni kundule, leo ametoka kwenye system haoni hata haya kuongea maneno hayo?
 
Tofauti yetu na nchi zingine ni kujikita kuwajadili watu badala ya hoja zao.

Hapa ndipo tunapofeli hali wenzetu kama Kenya wakipeta.

Urafiki wa kudumu katika siasa ni katika hoja si katika personalities.

Hatujiulizi kulikoni Raila, Karua, Uhuru, Kalonzo nk leo pamoja au kulikoni hao wote na Ruto waliwahi kuwa washirika katika mapambano?

Tungali na safari ndefu sana!
we peleka huko huo upupu wako, Polepole na Magufuli walikuwa mashetani wasio na mfano anapata wapi ujasiri wa kuongea huo upuuzi. Nawe ni km zuzu kweli
 
huyo fala anapata wapi ujasiri wa kuongea hayo maneno, amesahau uhuni walioufanya na Magufuki wake? Ndio kipindi msamiati wa watu wasiojulikana ulivoibuka. Kweli nyani haoni kundule, leo ametoka kwenye system haoni hata haya kuongea maneno hayo?
Fala anapojidhania Kuwa yuko vizuri.
 
we peleka huko huo upupu wako, Polepole na Magufuli walikuwa mashetani wasio na mfano anapata wapi ujasiri wa kuongea huo upuuzi. Nawe ni km zuzu kweli
Zuzu anapodhani upupu wake ni lulu. Kazi kweli kweli.
 
Pasi na kupepesa macho dhidi ya wahuni sikia mambo:

View attachment 2685447

"Kama si fitna, zengwe au kurogwa tegemea kujikuta ana kwa ana na wasiojulikana."

Ama kwa hakika wahuni si watu wazuri!

Tumesikia wakitishiwa watu kuuwawa. Uthibitisho kuwa wahuni huupiga mwingi hadi nje ya CCM.

Tunaporumbana nao kuhusu bandari zetu, maneno ya Polepole aka kiroboto, yanaishi:

"Usiku ni kuwa macho sana!"
Yuko vizuri lkn hathubutu kutembea usiku. Kweli ccm hatari, wanaiuza nchi tunaitazama hivi hivi
 
Yeye mwenyewe muhuni tu kama hao wenzake.
Ndio maana anawajua kwahiyo sie wengine tufaidike na kufarakana kwao kwani wanatoleana siri zao!! Polepole was an insider, anaifahamu CCM hivyo lazima tumuamini na hawa wakina Mwabukusi, Slaa, Madeleka na wengine ni lazima wachukue tahadhali ya kujilinda kwa kila hali kwani ccm na serikali yao wana historia ya kuwapoteza wapinzani wao wakiwatumia watu wao wasiojulikana!!
Wote mnaopinga mkataba huu wa bandali kwa niaba ya wananchi wa Tanganyika lazima mjilinde; ccm ni chama cha MAFIA wanaweza hata kuwalisha sumu, lazıma mchukue tahadhali kokote mliko!!
 
Yuko vizuri lkn hathubutu kutembea usiku. Kweli ccm hatari, wanaiuza nchi tunaitazama hivi hivi

Kutotembea usiku kunawahusu wote wanaozipigania bandari zetu hadharani
 
Ndio maana anawajua kwahiyo sie wengine tufaidike na kufarakana kwao kwani wanatoleana siri zao!! Polepole was an insider, anaifahamu CCM hivyo lazima tumuamini na hawa wakina Mwabukusi, Slaa, Madeleka na wengine ni lazima wachukue tahadhali ya kujilinda kwa kila hali kwani ccm na serikali yao wana historia ya kuwapoteza wapinzani wao wakiwatumia watu wao wasiojulikana!!
Wote mnaopinga mkataba huu wa bandali kwa niaba ya wananchi wa Tanganyika lazima mjilinde; ccm ni chama cha MAFIA wanaweza hata kuwalisha sumu, lazıma mchukue tahadhali kokote mliko!!

Itachukua miaka mingi sana Kwa mtanzania kuuelewa ukwwli huu.

Tatizo ni kuwa mtanzania ni mjuaji mno.
 
Back
Top Bottom