Rubajirwa
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 472
- 229
Nakubaliana na wewe mkuu sijui watanzania wanataka wapate raisi wa aina ganMagufuli mnamdharau nyie tu ila katika africa akigombea urais kwa asilimia 50 ya nchi za africa atashinda kwa kishindo. Wenye dharau ni wale waliokatiwa mirija na nyumbu, tena baadhi sio wote.
Udhaifu wa rais wangu ni mdogo sana na hauna madhara makubwa kwa vile bado anajifunza polepole kuwa mwanasiasa, hapo kale hakuijua siasa yeye ni mtu wa kazi tu habari za taarabu majukwaani hana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app