Polepole: Nipo Namibia, kila mtu anamuulizia Magufuli

Polepole: Nipo Namibia, kila mtu anamuulizia Magufuli

Hizi ni propaganda za kitoto. Ukienda kwenye ziara ya kinchi ni kawaida sana kusikia wakimsifu rais wenu hata kinafiki. Cga muhimu huyo rais asifiwe asisifiwe tunataka ubora wa maisha. Kama hakuna ubora wa maisha hata aje Trump hapa kumsifia Magufuli ni bure tu.
Fanya kazi utapata ubora wa maisha
 
Ni rahisi kusifia rangi ya nyoka kama hajakuuma, tunaojua maumivu ya mtu wenu mnayempamba kila uchao wala siyo mafisadi maana wengi nawajua na wanaendelea na maisha ya anasa tena wakiwa ndani ya CCM, lakini tunaoumia ni sisi nyasi (Watanzania wa hali ya chini) tunaokosa dawa hospitali huku mkinunua ndege za maonyesho, tusiopandishiwa mishahara kwa miaka 3 huku mkihubiri kuondoa mishahara hewa na watumishi hewa ambao hatuoni impact yake.

Tunaoumia ni sisi ambao watoto wetu wanakosa mikopo ya elimu ya juu na kuishia kulandalanda mitaani tukiomba misaada ya wasamaria, tunaoumia ni sisi tuliosoma kwa mikopo wakati wa JK tukiahidiwa makato madogo tutakapopata ajira lakini Leo kwa tunakatwa asilimia 15 kwa ubabe hadi take home inabaki 48,000/- kinyume cha kanuni za utumishi. Msitake tuongee mengi jamani, ni maumivu kila mahali!!

ACHA nikae KIMYA...!
Poleeee! Kwanza kama una mshahara shukuru sana tumia mshahara ulionao kujikwamua haraka sana na wala usilalamikie kutoonhezwa mshahara hakuna mahala duniani mtu amewahi kuridhika na mshahara, kuna wengine take milion 4 lakin nao wanasema mshahara hautoshi, kuna watu wanapata hadi milion 7 nao hautoshi ,hivo kama una tarajia ipo siku utaonhezwa mshahara na uridhike utasubiri sana!

Kuna watu take home ilikuwa laki 3 ,leo hii hawana habari na kuomba nyongeza za mishahara wanafanya maisha yao safi kabisa!

Mafanikio yako yamejificha kwenye ubongo wako ,siku ukibadili namna ya kuwaza hutamuomba mwajiri nyongeza ya mshahara, utamuuomba muda wa ziada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata katika udhaifu Wa hoja yako nakushukuru.

ACHA nikae KIMYA...!
 
View attachment 581718
Hii ni twitter ya "propagandist" wa CCM,anasema huko Namibia kila akipita watu wanamuulizia JPM,JPM yaani kila kona ni Magufuli tu.

Polepole anasema Magufuli karudisha heshima ya Taifa letu,sasa sijui anataka kusema hii heshima inayorudishwa na JPM ilipotezwa na kina nani?

Kwa watu wa "logic" watakubaliana kuwa Polepole anamaanisha Ma-Rais wengine waliotangulia kuanzia Mwinyi mpaka Jakaya waliipoteza heshima ya nchi hii,sasa huyu aliyepo anajitahidi kurudisha pale tulipovuliwa nguo kimataifa kama Taifa.

Anasahau kuwa hao waliopoteza heshima ya Taifa ni wa chama hichohicho ambacho amekuwa anasema kimeliletea Taifa heshima kwa miaka 50 toka Uhuru.Hawa wanasiasa huwa wanajichanganya sana
Koh koh koh,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Bwana mdogo muacheni tu akae kwa kuwa hata akili zake hazimtoshi yeye mwenyewe
 
Magufuli mnamdharau nyie tu ila katika africa akigombea urais kwa asilimia 50 ya nchi za africa atashinda kwa kishindo. Wenye dharau ni wale waliokatiwa mirija na nyumbu, tena baadhi sio wote.

Udhaifu wa rais wangu ni mdogo sana na hauna madhara makubwa kwa vile bado anajifunza polepole kuwa mwanasiasa, hapo kale hakuijua siasa yeye ni mtu wa kazi tu habari za taarabu majukwaani hana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mfano kampeni ya usafi iliyoanzishwa imefanikiwa sana na sasa hivi Dar ni moja kati ya miji misafi sana duniani. Kwanini mtu kama huyu asiuliziwe.
 
Magufuli huyu huyu anavunja mikataba bila kusoma content? Kama mruma alivosaini pia bila kuusoma
 
Sisi tuko na raia wa North Korea, kila mtu anamuulizia yule rais wao.
Ukiwa rais kichaa au rais Juha kila mtu duniani atakufahamu na hata kukuulizia zaidi.
 
Nabii hatukuzwi kwao aisee Kwa simple research niliyoifanya JPM Anakubalika sana huko nje
Tuambizane, umetumia sample gani? Au ndo wale wale ambao huwa wanatumia sample ya 'WASIOJULIKANA'?
 
View attachment 581718
Hii ni twitter ya "propagandist" wa CCM,anasema huko Namibia kila akipita watu wanamuulizia JPM,JPM yaani kila kona ni Magufuli tu.

Polepole anasema Magufuli karudisha heshima ya Taifa letu,sasa sijui anataka kusema hii heshima inayorudishwa na JPM ilipotezwa na kina nani?

Kwa watu wa "logic" watakubaliana kuwa Polepole anamaanisha Ma-Rais wengine waliotangulia kuanzia Mwinyi mpaka Jakaya waliipoteza heshima ya nchi hii,sasa huyu aliyepo anajitahidi kurudisha pale tulipovuliwa nguo kimataifa kama Taifa.

Anasahau kuwa hao waliopoteza heshima ya Taifa ni wa chama hichohicho ambacho amekuwa anasema kimeliletea Taifa heshima kwa miaka 50 toka Uhuru.Hawa wanasiasa huwa wanajichanganya sana
Kuuliziwa si hoja! Hoja ni :ANAULIZIWA KWA LIPI? Hata mnoko huuliziwa.
 
Back
Top Bottom