OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,128
- 24,064
Kwa Bi Hangaya anasemaje?
Mbunge ni lazima awe mwanachama wa chama cha siasa haijalishi amechaguliwa au ameteuliwa.
Acha umbwiga manka Bavicha wenzako wanakucheka!
Hicho kikundi kitokee wapi? Wewe kwa akili yako Lisu na Polepole ni WA kuwaamini?Katika video iliyoko You tube, Humphrey Polepole anaongelea hatari ya kutokea kikundi cha watu wanaongoza serikali kwa mlango wa nyuma na anaonya kikundi hicho ndio kinaweza kuwa kinaamua kila kitu na serikali kubaki kama mwanasesere tu.
Polepole ametoa mfano wa kuwa na CCM A na CCM B ambapo amesema CCM B ndio itakuwa inaamua kila kitu huku CCM A wakibaki kama wanasesere.
Ametoa mfano wa nchi kama Angola na Congo ambazo zimekuwa na vikundi vya aina hiyo katika serikali na ameonya nguvu za aina hiyo zinawe kutokea hata hapa Tanzania.
Polepole anasisitiza tuwe macho na tusi-relax kwasababu jambo hili linaweza kutokea hapa nchini.
Kauli hii ya Polepole inanifanya nikumbuke kauli ya Lissu kuwa kuwa watu ndio wanafanya maamuzi na Mama anakuwa mtazamaji (maamuzi kawaachia watu wengine).
Kwahiyo, mpaka hapa, nasema tusubiri muda utakuja kuthibitisha au kufichua yaliyofichika
Bwashee kasome katiba ya JMT!
Mungu akusaidie nini si uwashe tochiMungu atusaidie naona giza mbele
Mama katika hili ndipo ananitia mashaka uwezo wake, huyu ni mwana CCM, yeye ndiye kamteuwa halafu kutwa yuko kwenye mitandandao kutoa mafumbo. Ok dogo analoweza kufanya kumchukulia hatua ndani ya CCM maana haijawahi kutokea au kama ilitokea mtu kwenda na msimamo wa mwenyekiti wa chama maana ndiye anabeba sera za chama kukosolewa hadharani wakati CCM sifa kubwa huwa wanajinadi mambo yao yanajadiliwa ndani ya vikao na ni kweli hilo limewafanya kuwa tofauti ila tunaona siku hizi wanakimbilia kwenye mitandao. CCM hawayaoni haya au ndio kuna A na B. Mimi nadhani kuna tatizo kubwa katika CCM na Mama kama kapwaya au watendaji wake katika CCM wamepwaya. Huko nyuma haya usingeweza kusikia ndani ya CCM utawekwa kikao kama hujaondoka na ugonjwa wa moyo.
Katika video iliyoko You tube, Humphrey Polepole anaongelea hatari ya kutokea kikundi cha watu wanaongoza serikali kwa mlango wa nyuma na anaonya kikundi hicho ndio kinaweza kuwa kinaamua kila kitu na serikali kubaki kama mwanasesere tu.
Polepole ametoa mfano wa kuwa na CCM A na CCM B ambapo amesema CCM B ndio itakuwa inaamua kila kitu huku CCM A wakibaki kama wanasesere.
Ametoa mfano wa nchi kama Angola na Congo ambazo zimekuwa na vikundi vya aina hiyo katika serikali na ameonya nguvu za aina hiyo zinawe kutokea hata hapa Tanzania.
Polepole anasisitiza tuwe macho na tusi-relax kwasababu jambo hili linaweza kutokea hapa nchini.
Kauli hii ya Polepole inanifanya nikumbuke kauli ya Lissu kuwa kuwa watu ndio wanafanya maamuzi na Mama anakuwa mtazamaji (maamuzi kawaachia watu wengine).
Kwahiyo, mpaka hapa, nasema tusubiri muda utakuja kuthibitisha au kufichua yaliyofichika.
Msikilize hapa chini kwenye hii clip ambapo anaongelea swala hili kwa kirefu:

Huyu Pole pole anaweza kunyang'anywa kadi ili ipatikane nafasi ya kuteua mbunge mwenye sifa ya uwaziri!
Hakuna mwanasiasa anayesema ukweli!Kama anasema ukweli, kadi ndio kitu gani?
Hakuna mwanasiasa anayesema ukweli!
Unshangilia kufa kwa binadamu mwenzio ka vile wewe hautakufa,kumbe uchawi so lazima ukutwe na tunguli,hata kauli za maandishi zinadhihirisha mtu ni mchawi wa kiwango ganiNiishi mara ngapi we nyumbu
Katika video iliyoko You tube, Humphrey Polepole anaongelea hatari ya kutokea kikundi cha watu wanaongoza serikali kwa mlango wa nyuma na anaonya kikundi hicho ndio kinaweza kuwa kinaamua kila kitu na serikali kubaki kama mwanasesere tu.
Polepole ametoa mfano wa kuwa na CCM A na CCM B ambapo amesema CCM B ndio itakuwa inaamua kila kitu huku CCM A wakibaki kama wanasesere.
Ametoa mfano wa nchi kama Angola na Congo ambazo zimekuwa na vikundi vya aina hiyo katika serikali na ameonya nguvu za aina hiyo zinawe kutokea hata hapa Tanzania.
Polepole anasisitiza tuwe macho na tusi-relax kwasababu jambo hili linaweza kutokea hapa nchini.
Kauli hii ya Polepole inanifanya nikumbuke kauli ya Lissu kuwa kuwa watu ndio wanafanya maamuzi na Mama anakuwa mtazamaji (maamuzi kawaachia watu wengine).
Kwahiyo, mpaka hapa, nasema tusubiri muda utakuja kuthibitisha au kufichua yaliyofichika.
Msikilize hapa chini kwenye hii clip ambapo anaongelea swala hili kwa kirefu:
was the best President kwa nchi yetu na kwa wakati husika
Kwa muda mfupi aliokaa madarakani amefanya mageuzi makubwa sana ktk nchi hii,,, we miss him