Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,627
- 218,056
Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - KikweteHuyu Pole pole anaweza kunyang'anywa kadi ili ipatikane nafasi ya kuteua mbunge mwenye sifa ya uwaziri!
Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - KikweteHuyu Pole pole anaweza kunyang'anywa kadi ili ipatikane nafasi ya kuteua mbunge mwenye sifa ya uwaziri!
Nimesoma kama mara 3 lakini kama sijakuelewa umeandika nini lakini sio issue ndio makada walivyo maana hata huko bungeni kusoma tu shida.CCM imeondokewa na watu wa uwezo wa Polepole, Bashiru na JPM lazima ombwe lionekani ukweli una tabia ya kujitetea. Na washukuru Mungu JPM akisaidia na hawa niliowataja waliwakongoroa CDM vilivyo.
Katika video iliyoko You tube, Humphrey Polepole anaongelea hatari ya kutokea kikundi cha watu wanaongoza serikali kwa mlango wa nyuma na anaonya kikundi hicho ndio kinaweza kuwa kinaamua kila kitu na serikali kubaki kama mwanasesere tu.
Polepole ametoa mfano wa kuwa na CCM A na CCM B ambapo amesema CCM B ndio itakuwa inaamua kila kitu huku CCM A wakibaki kama wanasesere.
Ametoa mfano wa nchi kama Angola na Congo ambazo zimekuwa na vikundi vya aina hiyo katika serikali na ameonya nguvu za aina hiyo zinawe kutokea hata hapa Tanzania.
Polepole anasisitiza tuwe macho na tusi-relax kwasababu jambo hili linaweza kutokea hapa nchini.
Kauli hii ya Polepole inanifanya nikumbuke kauli ya Lissu kuwa kuwa watu ndio wanafanya maamuzi na Mama anakuwa mtazamaji (maamuzi kawaachia watu wengine).
Kwahiyo, mpaka hapa, nasema tusubiri muda utakuja kuthibitisha au kufichua yaliyofichika.
Msikilize hapa chini kwenye hii clip ambapo anaongelea swala hili kwa kirefu:
PavilioniyaNimesoma kama mara 3 lakini kama sijakuelewa umeandika nini lakini sio issue ndio makada walivyo maana hata huko bungeni kusoma tu shida.
Huu ni upuuzi sana. Hata kama kikundi kipo na nchi inaenda sawa kina shida gani. Alizoea one man show . Aache ujinga.