Polepole ni CCM na CCM ni Polepole hakuna jipya

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,691
Reaction score
2,303
Ukiwa na akili na uelewa wala huulizi nini anafanya polepole kwani iko wazi anachofanya ni kuwahamisha wananchi kutoka kwenye umakini na kuwachanganya wasahau yanayowasibu.

Polepole hana jipya labda kama lakini kwa mdomo mtu kama Lissu,Silaa,Rungwe,nk t
 
Leo hakuna press ?
 

Bila shaka utakuwa mhuni au mwenzai kwa kujua au kutokujijua.
 
Sasa mbona mitandao iyumbe nchi nzima kila akiwa hewani???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…