Polepole na udhalilishaji wa wabunge wa CHADEMA

Polepole na udhalilishaji wa wabunge wa CHADEMA

Wamburuze mahakamani wamdai fidia kule ndo iko Dawa ya kutibu vichaa vya waropokaji we uoni Musiba kapona kuropoka baada ya kuburuzwa mahakamani.Mahakamani bado wapo mahakimu wanaosali na sio wote ni makada.
 
Wapo wakina CAG
 
Musiba sasa kaamua kukimbilia yanga kutafuta huruma ya wana yanga
 
CDF kauli za uvunjivu wa Amani ndio hizo toka kwa wanasiasa si ulisema utazifatilia?
 
Bahati mbaya binaadamu husongwa na tabia zake mwenyewe . Wanadhani wanavyofanya kwa wabunge wao wa CCM ndivyo na vyama vingine wanavyo fanya. Ni majuzi tu mbunge wa CCM amepigwa talaka bungeni humo kwa kuendekeza umalaya.

Nashauri katiba ibadilishwe na nafasi hizi zigombewe direct toka kwa wananchi kama wenzetu wa Kenya wanavyofanya. Ili kuondoa wenye mamlaka ndani ya vyama kuvitumia vibaya.
Ha ha ha kwa hiyo tupekue mafaili ya pole pole kama hana historia ta kashfa za ngono?
 
Ha ha ha kwa hiyo tupekue mafaili ya pole pole kama hana historia ta kashfa za ngono?
Hizi nafasi zisiwe hisani zigombewe ndani ya vyama na kisha kwa wananchi, kama zilivyo nafasi za majimbo. Wenzetu wa Kenya zinagombewa na ni kinyang'anyiro hasa !!. Na kwa njia hiyo mama ataona kuwa amepigania nafasi hiyo, na si hisani ya kiongozi yeyote ndani ya chama.
 
Mteuliwa yeyeto uwakilisha maslai ya aliyemteua kama kulipa fadhila
 
Itakuwa vizuri maana kawachokoza nyuki lazima ajiandae kwa mbio
Ha ha ha kwa hiyo tupekue mafaili ya pole pole kama hana historia ta kashfa za ngono?
 
Kweli nimeamini ni kinyonga hasa baada ya kuyakana maneno yake wakati ule wa mchakato wa kuipata katiba ya warioba
Huyo kama alivyo kinyonga na mwendo wake wa polepole na kutoeleweka rangi yake halisi ndivyo alivyo Polepole huyu asiye na ndevu.
 
Dawa ya upuuzi ni kupuuza kuupa muda upuuzi kuujadili ni kupoteza muda kwa mambo ya kipuuzi..., hao wabunge wanaohiitaji kutetea wananchi kama wametukanwa na wanaona sababu ya kufuatilia hili suala na hawalifuatilii basi huenda hawafai kututetea sisi kama hata wenyewe hawawezi kujitetea .....,

Binafsi naamini kwenye maneno matupu hayavunji mfupa na freedom of speech..., mwache kila mtu aseme asemalo wasikilizaji watachambua mchele ni upi na pumba ni zipi
 
Back
Top Bottom