Polepole na udhalilishaji wa wabunge wa CHADEMA

Polepole na udhalilishaji wa wabunge wa CHADEMA

Mmawia uko busy kukingia kifua mabazazi waendelee kuwatafuna akina Peneza kisa tu CCM wanafanya hivyo pia.

Yaani kwa maneno mengine, unabainisha kuwa CDM wanakopi na kupesti kutoka kwa CCM kama role model wao!

Unajidhalilisha!
 
Bado hujanipata naona,
Tatizo langu ni kwako kuikosoa kwa mishipa iliyo jaa hasira cdm bila kuigusa ccm kama unataka kuweka michango yako iwe fair lazima tukemee pande zote
 
Ifikie mahali watanzania kwa umoja wetu tuseme hapana kwa kitendo cha katibu mwenezi wa CCM Polepole kusema kuwa wabunge wa viti maalum cdm ili wapate nafasi hiyo ni lazima washiriki ngono na mwenyekiti wa CHADEMA

Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu kwa wanawake wote wa Tanzania na popote pale ulimwenguni.

Watanzania tuupinge kwa nguvu zetu.
By mbunge Upendo Peneza bungeni Dodoma

View attachment 1075013
Yeye mwenyew viti maalum sasa sijui yey alishughurikiwa nanani kabla ya kupewa huo uenez wa mezani
 
Bado hunanipata naona,
Tatizo langu ni kwako kuikosoa kwa mishipa iliyo jaa hasira cdm bila kuigusa ccm kama unataka kuweka michango yako iwe fair lazima tukemee pande zote
Sasa uzi si unahusu CDM mkuu?

Okay. Kwahiyo tunakubaliana kwamba kote kuna matatizo siyo? Kwamba, kuna wabunge viti maalum ni misosi ya wakubwa ndani ya CDM kama ilivyo CCM, right?
 
Umesema kweli mkuu nakumbuka mbunge wetu wa jimbo mojawapo hapa dsm kalimwa taraka kisa umalaya lkn huyo polepole hayaoni hayo
Kuna mwingine "aliyeunga juhudi" kutoka lile jombo la watoto wa mujini majuzi mjengoni alisutwa na wamama kwa kumchamba mpaka macho yakadondoka hahahaaaaa
 
Hii kashfa ni ya muda mrefu sana.. Nadhani ina kaukweli fulani hivi.. Tatizo CDM hawapendi kusemwa. Wao wanajiona wapo perfect kwenye kila kitu.. Sio sahihi!

Kuna Wabunge wa Viti Maalum wengi wamo kwenye mahusiano na viongozi waandamizi wa chama mpaka wengine kuzaa nao.

Polepole anawasaidia muepukane na hii rushwa ya ngono enyi wanawake. Anachokosea ni kudhani CCM hakuwezi kuwepo tabia hii.. Sio sahihi!
Ndugu una ushahid?au ni wale walamba miguu wa lumumba
 
Udhaifu wa Wabunge na Viongozi wa Chadema ndio unaowapa kiburi hao akina Polepole kuendelea kuwatukana.
Kwa nini Chadema hawajifunzi kutoka Polisi?
Kila wanapotaja jina la Magufuli, nje ya kumsifia, wanakamatwa na Polisi na kupelekwa Mahakamani.
Kwa nini ninyi Chadema mnashindwa kumfungulia kesi ya udhalilishaji Polepole?
Kwa nini mmekubali kuwa Mahakama zetu ni mahali pa ninyi kushitakiwa tu, lakini ninyi hamuendi kufungua mashitaka?
Kazi yenu imekuwa kulialia tu!
Angalieni tangia Bernard Membe ampeleke Mahakamani Cyprian Musiba, mmesikia au mmeona huyo Musiba akiropoka tena juu ya Membe?
Polisi wanawanyima vibali vya mikutano, au wanawazuia kufanya mikutano ya ndani, KINYUME CHA SHERIA, badala ya kumfungulia kesi huyo OCD "in his/her personal capacity, for his/her unlawful performance of duty', kwa kuvunja Sheria za nchi, kazi yenu ni kulalamika tu!
Hata Waziri George Mkuchika anapowaeleza kuwa msikubali kukamatwa ovyo ovyo, na ikitokea, muwafungulie mashtaka hao wanaowaweka mahabusu " unlawfully", mimi naona hamuelewi hata kidogo!
Binafsi, mnanishangaza sana.
Mawakili wenu kazi yao ni kuwatetea tu, kuwafungulia mawashitaka hao akina Polepole na Jeshi la Polisi hawawezi?
What is wrong with you?
I really miss Hon. Tundu Antipas Lissu.
I'm sorry for loosing my temper, but Chadema has to be proactive, not always reactive!
Umenena Mkuu inafikia hatua mpaka unajiuliza hv wanawaogopa?
 
Huoni dhambi kwa sababu imefanyika upande uliopo.. Si ajabu huelewi hata mambo ya conflict of interest.. Unajionea sawa tu!

Haya mambo yanafanywa na CCM tunayekemea. Nyie ambao tulitarajia mtajitofautisha nao, mnafanya yale yale halafu mkihojiwa mnakuja na utetezi dhaifu. Mbaya zaidi mnahalalisha kosa kwa kosa.

Haya. Hakuna tatizo. Yaishe!
Punguza mahaba waweza thibtsha kwa unachotetea
 
Bado hunanipata naona,
Tatizo langu ni kwako kuikosoa kwa mishipa iliyo jaa hasira cdm bila kuigusa ccm kama unataka kuweka michango yako iwe fair lazima tukemee pande zote
Hii tune mbona kama haikanushi alichokisema Humphrey Polepole ( mwenezi CCM)?
 
Yule ni kati ya wabunge hasara kwa wana wa kinondoni
Kuna mwingine "aliyeunga juhudi" kutoka lile jombo la watoto wa mujini majuzi mjengoni alisutwa na wamama kwa kumchamba mpaka macho yakadondoka hahahaaaaa
 
Back
Top Bottom