Polepole na udhalilishaji wa wabunge wa CHADEMA

Matamko yasiyo ya heshima umudhalilisha mtu mwenye kutoa matamshi hayo.Ulevi wa madaraka usababisha utawala wa kifalme matokeo yake uzaa kiburi,chuki,ubinafsi nk
 
Huyo dogo kashaleweshwa na kulindwa na mteule wake kiasi anawaona watanzania wenzake kama pumba tu
Matamko yasiyo ya heshima umudhalilisha mtu mwenye kutoa matamshi hayo.Ulevi wa madaraka usababisha utawala wa kifalme matokeo yake uzaa kiburi,chuki,ubinafsi nk
 
Mkuu hapa kuna sehemu watoto wa hao wabunge walio dhalilishwa tukiyanyamazia unadhani watachukuliaje hizo allegation?
Dawa ya upuuzi ni kupuuza kuupa muda upuuzi kuujadili ni kupoteza muda kwa mambo ya kipuuzi..., hao wabunge wanaohiitaji kutetea wananchi kama wametukanwa na wanaona sababu ya kufuatilia hili suala na hawalifuatilii basi huenda hawafai kututetea sisi kama hata wenyewe hawawezi kujitetea .....,

Binafsi naamini kwenye maneno matupu hayavunji mfupa na freedom of speech..., mwache kila mtu aseme asemalo wasikilizaji watachambua mchele ni upi na pumba ni zipi
 
Nafuatilia taratibu za kumfungulia kesi polepole kwa kauli yake hiyo,aje atuthibitishie mahakamani,vinginevyo aombe radhi
Hongera sana ndugu yetu kwa kuchukua uamuzi kama huo wa kishujaa kama ule ulio chukuliwa na mh Membe dhidi ya musiba
 
Mfungulieni mashtaka alete ushahidi!

Watu wakipeana papuchi wanapeana kwa hiari zao, wengine wana huruma bhana sasa wewe unaleta habari za uongozi hapa. Mbona kuna wabunge wanaliwa tangu hawajaja humo bungeni!

Sasa na nyie wanawake kaeni kimya, mtajibeba! Maana mwanaume kusogea issue nyingine
 
Kwani ubongo? ?
Ifikie mahali watanzania kwa umoja wetu tuseme hapana kwa kitendo cha katibu mwenezi wa CCM Polepole kusema kuwa wabunge wa viti maalum cdm ili wapate nafasi hiyo ni lazima washiriki ngono na mwenyekiti wa CHADEMA

Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu kwa wanawake wote wa Tanzania na popote pale ulimwenguni.

Watanzania tuupinge kwa nguvu zetu.
By mbunge Upendo Peneza bungeni Dodoma

View attachment 1075013
 
Hiyo ndiyo dawa haswaa ya kumuweza huyo chakubanga ili afunge hilo domo lake
Mfungulieni mashtaka alete ushahidi!

Watu wakipeana papuchi wanapeana kwa hiari zao, wengine wana huruma bhana sasa wewe unaleta habari za uongozi hapa. Mbona kuna wabunge wanaliwa tangu hawajaja humo bungeni!

Sasa na nyie wanawake kaeni kimya, mtajibeba! Maana mwanaume kusogea issue nyingine
 
Bahati mbaya binaadamu husongwa na tabia zake mwenyewe . Wanadhani wanavyofanya kwa wabunge wao wa CCM ndivyo na vyama vingine wanavyo fanya. Ni majuzi tu mbunge wa CCM amepigwa talaka bungeni humo kwa kuendekeza umalaya.

Nashauri katiba ibadilishwe na nafasi hizi zigombewe direct toka kwa wananchi kama wenzetu wa Kenya wanavyofanya. Ili kuondoa wenye mamlaka ndani ya vyama kuvitumia vibaya.
Wewe huna tofauti na Polepole, alivowadhalilisha hao Dada zetu wa CDM, nawe umewadhalilisha Dada zetu wa CCM.

Ndugu tumia akili unapochangia.

Polepole anatakiwa aombe radhi hadharani.
 
Watu walio chama tawala wanatakiwa kuwa mfano mwema kabisa . Si kuanzisha vitu vinavyoleta machukizo na visasi . Bahati mbaya ubinaadamu wetu hutangulia utu.
Wewe huna tofauti na Polepole, alivowadhalilisha hao Dada zetu wa CDM, nawe umewadhalilisha Dada zetu wa CCM.

Ndugu tumia akili unapochangia.

Polepole anatakiwa aombe radhi hadharani.
 
Pole Pole anakoelekea sasa amepitiliza.
Haiwagusi CHADEMA,bali wabunge wanawake.
Wakilinyamazia hili wabunge wote kwa ujumla wao,watakuwa wamepungukiwa pakubwa sana vichwani
Hivi MTU kama Dr tulia , halima bulembo, bona kaluwa na yule waziri wa afya ambaye hadi SMS zake zipo traced watasema Nini?
 
Kwa uzuzu wa polepole alidhania anawadhalilisha wana cdm pekee yao kumbe ndiyo anawavua nguo dada zake woote including wana ccm wenZAo
Hivi MTU kama Dr tulia , halima bulembo, bona kaluwa na yule waziri wa afya ambaye hadi SMS zake zipo traced watasema Nini?
 
Mkuu kwa matamshi ya polepole nilitegemea hadi sasa angekuwa ameshaitwa bungeni na kamati ya maadii lkn wapi
Watu walio chama tawala wanatakiwa kuwa mfano mwema kabisa . Si kuanzisha vitu vinavyoleta machukizo na visasi . Bahati mbaya ubinaadamu wetu hutangulia utu.
 
Back
Top Bottom