Hao vitu maalimu vya cdm wanachezea fursa hio yaani wanaacha hela hio wampeleke mahakamani akadhibitishe akishindwa wamdai fidia,musiba aropoki hovyo maana ana kesi ya uchafuzi mahakamani.
Mbona Magufuli kazaa na waziri wake kwann huyo Pole Pole asemi. Anatembea na Ummy Mwalimu anatembea na mkuu wa wilaya Kidoti mbona asemiHii kashfa ni ya muda mrefu sana.. Nadhani ina kaukweli fulani hivi.. Tatizo CDM hawapendi kusemwa. Wao wanajiona wapo perfect kwenye kila kitu.. Sio sahihi!
Kuna Wabunge wa Viti Maalum wengi wamo kwenye mahusiano na viongozi waandamizi wa chama mpaka wengine kuzaa nao.
Polepole anawasaidia muepukane na hii rushwa ya ngono enyi wanawake. Anachokosea ni kudhani CCM hakuwezi kuwepo tabia hii.. Sio sahihi!
Polepole uwezo wake wa kufikiri ni mdogo kuliko cyprian Musiba na Le mutuz ambao ndiyo vilaza mbumbumbu wakuu huko CCM
Ifikie mahali watanzania kwa umoja wetu tuseme hapana kwa kitendo cha katibu mwenezi wa CCM Polepole kusema kuwa wabunge wa viti maalum cdm ili wapate nafasi hiyo ni lazima washiriki ngono na mwenyekiti wa CHADEMA
Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu kwa wanawake wote wa Tanzania na popote pale ulimwenguni.
Watanzania tuupinge kwa nguvu zetu.
By mbunge Upendo Peneza bungeni Dodoma
View attachment 1075013
Hapo nategemea wanawake wote muungane kama mnafikiri wanaguswa chadema au mkasema no siasa itaenda mbali mpaka Kwa makamu was Rais, Tulia na wengine wengi sio siri kauli no ya kuudhalilisha wanawake hats kama Wana mahusiano kama hayavunji Sheria huna haki ya kuongea private issues za watu hadharani wala huna haha ya kuhusianisha promotion za watu na social issue otherwise tutakuwa na systems dhaifu Sana ambapo watu wanaweza teuana kingono huko no doubt uwezo wa wanawakeIfikie mahali watanzania kwa umoja wetu tuseme hapana kwa kitendo cha katibu mwenezi wa CCM Polepole kusema kuwa wabunge wa viti maalum cdm ili wapate nafasi hiyo ni lazima washiriki ngono na mwenyekiti wa CHADEMA
Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu kwa wanawake wote wa Tanzania na popote pale ulimwenguni.
Watanzania tuupinge kwa nguvu zetu.
By mbunge Upendo Peneza bungeni Dodoma
View attachment 1075013
Hapo nategemea wanawake wote muungane kama mnafikiri wanaguswa chadema au mkasema no siasa itaenda mbali mpaka Kwa makamu was Rais, Tulia na wengine wengi sio siri kauli no ya kuudhalilisha wanawake hats kama Wana mahusiano kama hayavunji Sheria huna haki ya kuongea private issues za watu hadharani wala huna haha ya kuhusianisha promotion za watu na social issue otherwise tutakuwa na systems dhaifu Sana ambapo watu wanaweza teuana kingono huko no doubt uwezo wa wanawake