Polepole na udhalilishaji wa wabunge wa CHADEMA

Nafikiri sasa ndiyo tuanzie hapo maana dawa ya moto kamwe siyo maji bali ni moto.
JINO KWA JINO
....halafu watu wakisema mtu hapati u-DC au u-RC au uwaziri shurti alale na aliyemteua - hivi huyu Polepole atakuwa na moral authority ya kuwalaumu wanaosema haya??!!
 
huku ni kuamsha hisia za udhalilishaji alizonazo mkuu wa kaya! hakuna mwenye kashfa kama hizo kuliko yeye! je watu wazichukue kama ajenda?

kulikua na kashfa ya kuhonga nyumba kuzaa na shemeji na mawaziri huku wakuu wa wilaya .

tafadhari hizi sio hoja kwetu africa!
 
Polepole anajisahau sana kuwa watanzania siyo mazuzu
huku ni kuamsha hisia za udhalilishaji alizonazo mkuu wa kaya! hakuna mwenye kashfa kama hizo kuliko yeye! je watu wazichukue kama ajenda?

kulikua na kashfa ya kuhonga nyumba kuzaa na shemeji na mawaziri huku wakuu wa wilaya .

tafadhari hizi sio hoja kwetu africa!
 
Hakuna kiongozi wa chama cha upinzani anaamua kuishi mahabusu au kuwa mtumwa wa kwenda mahakamani bali ni juhudi za watawala kuhakikisha shughuli za upinzani hazifanyiki
Maelezo yako nayaafiki.
Hoja ya msingi hapa ni kwamba, hizo juhudi za Watawala kuua Upinzani, zinakinzana na Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa kuwa zinavunja Katiba, yeyote anayeshiriki kutimiza hizo juhudi zinazovunja Katiba, awe Mkuu wa Polisi wa Wilaya, 'OCD', au awe Mkuu wa Wilaya au Mkoa, achukuliwe hatua za kisheria, 'yeye binafsi', kama mvunja sheria.
Kila Kiongozi wa Serikali anayekwenda kinyume na Katiba kwa kuwakamata Viongozi wa Upinzani akifunguliwa mashitaka Mahakama Kuu, wakati kesi inaendelea, atajishauri mara mbili kabla ya kutenda tena kosa hilo hilo.
OCD akiwa na kesi binafsi Mahakama Kuu ya kuzuia mikutano ya ndani ya Vyama vya Siasa, hawezi kuendelea kutenda kosa hilo hilo maana sasa atakuwa anaingia kwenye mgogoro na Mahakama Kuu, atajiongezea kosa la 'Contempt of Court'.
Lakini kulalamika bila kuchukua hatua, basi Mahabusu yataendelea kuwa 'makazi' ya Mheshimiwa Mbowe na Viongozi wenzake wote wa Upinzani!
 
Upo sahihi sana mkuu ni kipindi cha kuwacha uwoga
Maelezo yako nayaafiki.
Hoja ya msingi hapa ni kwamba, hizo juhudi za Watawala kuua Upinzani, zinakinzana na Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa kuwa zinavunja Katiba, yeyote anayeshiriki kutimiza hizo juhudi zinazovunja Katiba, awe Mkuu wa Polisi wa Wilaya, 'OCD', au awe Mkuu wa Wilaya au Mkoa, achukuliwe hatua za kisheria, 'yeye binafsi', kama mvunja sheria.
Kila Kiongozi wa Serikali anayekwenda kinyume na Katiba kwa kuwakamata Viongozi wa Upinzani akifunguliwa mashitaka Mahakama Kuu, wakati kesi inaendelea, atajishauri mara mbili kabla ya kutenda tena kosa hilo hilo.
OCD akiwa na kesi binafsi Mahakama Kuu ya kuzuia mikutano ya ndani ya Vyama vya Siasa, hawezi kuendelea kutenda kosa hilo hilo maana sasa atakuwa anaingia kwenye mgogoro na Mahakama Kuu, atajiongezea kosa la 'Contempt of Court'.
Lakini kulalamika bila kuchukua hatua, basi Mahabusu yataendelea kuwa 'makazi' ya Mheeshimiwa Mbowe na wenzake!
 
Ninakushukuru sana Misterdennis kwa kuwafikishia ujumbe Viongozi wa Kambi ya Upinzani.
Itapendeza sana tukiona comments zao hapa kwenye Jamvi kwa sababu hakuna Mtanzania mwenye uzalendo na nchi yetu anayefurahishwa na hiki kinachoendelea cha Viongozi wa Upinzani kuhamishia makazi yao ama Mahabusu, ama Mahakamani.
Mkuu...
Hili jambo limekuwa linanitatiza na kunipa shida sana. Ni Kwa nini viongozi wa upinzani wanatuangusha kiasi hiki?
Inakuwaje wanaacha kuwapeleka mahakamani askari wasiokuwa na kinga kwa kuwanyima haki zao kinyume na sheria??
He, wameshindwa kupeleka mahakamani suala la ma DED kuwa wasimamizi wa uchaguzi?!!
Hivi Hawa viongozi wana matatizo gani??
 
Hakuna kiongozi wa chama cha upinzani anaamua kuishi mahabusu au kuwa mtumwa wa kwenda mahakamani bali ni juhudi za watawala kuhakikisha shughuli za upinzani hazifanyiki
Sawa mkuu...
Tunaona wote jinsi wenye madaraka wanavyo washukia kila kona. But tunahitaji kuona juhudi zao za dhati kutafuta haki kwenye vyombo vya haki.
Inakuwaje tunaelekea 2020 huku suala la DEDs kuendelea kuwa wasimamizi wa uchaguzi halijashughulikiwa? Wanadhani bila kutenguliwa na mahakama kuna mbunge wa upinzani atarudi 2020??
 
Tupo pamoja mkuu, lakini kuna haja ya kupambana na rushwa popote ilipo
Kemea rushwa ya ngono na 'nepotism' hats kama inamhusu shangazi pia!
RUSHWA NI ADUI WA HAKI!
Kwani hakuna wanaopata uongozi ccm kwa kutoa K?

Hii kitu ililalamikiwa na binti mmoja ndani ya CCM mbele ya Polepole but akajibu keep mantiki na sio jibu stahiki.

Mpumbavu tu huyu
 
Polepole hajitambui na amepoteza zile sifa alizo zipata kupitia mgongoni kwa mzee Warioba
Kwani hakuna wanaopata uongozi ccm kwa kutoa K?

Hii kitu ililalamikiwa na binti mmoja ndani ya CCM mbele ya Polepole but akajibu keep mantiki na sio jibu stahiki.

Mpumbavu tu huyu
 
Hiyo ni kweli na kwa taarifa tu ni kuwa tayari kuna kesi mahakamani kupinga hawa watu kuwa wasimamizi wa uchaguzi siyo kama viongozi wamelala usingizi kiasi hicho
Sawa mkuu...
Tunaona wote jinsi wenye madaraka wanavyo washukia kila kona. But tunahitaji kuona juhudi zao za dhati kutafuta haki kwenye vyombo vya haki.
Inakuwaje tunaelekea 2020 huku suala la DEDs kuendelea kuwa wasimamizi wa uchaguzi halijashughulikiwa? Wanadhani bila kutenguliwa na mahakama kuna mbunge wa upinzani atarudi 2020??
 
Kuhusu ma DED kuwa wasimamizi wa uchaguzi tayari kesi ipo mahakamni
Mkuu...
Hili jambo limekuwa linanitatiza na kunipa shida sana. Ni Kwa nini viongozi wa upinzani wanatuangusha kiasi hiki?
Inakuwaje wanaacha kuwapeleka mahakamani askari wasiokuwa na kinga kwa kuwanyima haki zao kinyume na sheria??
He, wameshindwa kupeleka mahakamani suala la ma DED kuwa wasimamizi wa uchaguzi?!!
Hivi Hawa viongozi wana matatizo gani??
 
Kina nani hao mkuu ebu tudondoshee hapa japo kwa mafumbo tuanze kumdadavua
Nenda pale ofisi ya WM ulizia kitengo cha uwekezaji utakutana mlangoni na katoto katatambaa copy right na JIWE. Tukaombee tu kwa MUNGU kasiwe na roho ya dady
 
Asante sana mkuu kwa taarifa
Nenda pale ofisi ya WM ulizia kitengo cha uwekezaji utakutana mlangoni na katoto katatambaa copy right na JIWE. Tukaombee tu kwa MUNGU kasiwe na roho ya dady
 
Ndugu polepole nakutafuta kokote uliko unipe na mimi ulichotowa hadi ukapewa hiyo nyadhifa, nimeshaandaa KY jelly karibu sana nikule para
 
Hakuna mwenye namba yake ya simu waianike humu ili wazee kwa kule pwani ya kenya wapate kumpa Hi
 
Ndugu polepole nakutafuta kokote uliko unipe na mimi ulichotowa hadi ukapewa hiyo nyadhifa, nimeshaandaa KY jelly karibu sana nikule para
Labda kaonyeshwa chumba kilichojaa noti kama cha Sudan akalewa,we uoni musiba alivojitoa ufahamu.
 
Back
Top Bottom