Polepole na udhalilishaji wa wabunge wa CHADEMA

Nimewapenda wana ccm wanaume waliokaa mbele kwenye hiyo video jinsi walivyokausha,hawakucheka.walibaki kumshangaa tu Mr slowslow!!!
Kwa ninavyo wajuwa wabunge wa ccm watalifumbiaa macho na kulifanya kuwa ni tatizo la cdm kumbe hapa ni fully udhalilishaji wa kina mama wote bila kujali itikadi za vyama
 
Tangu alivyo amua Kula matapishi yake pale alipo kubali uteuzi wa udc ndiyo alipo jishushia heshima yake wakati alikuwa anazipiga vita nafasi za udc kuwa ni matumizi ya hovyo ya rasilimali fedha
Hata Mbowe alikula matapishi yake kwa Lowasa
 
Mbona ccm hawataki katiba mpya ambayo iliwekautaratibu mzuri wa kuwapata wabunge wa viti maalumu?
 
Yeye mwenyewe aliteuliwa kuwa mkuu wa wilaya then katibu mwenezi wa ccm! Nasema akiteuliwa kwa maana ya kuwa hana tofauti na wabunge wa kuteuliwa na ambao majority ni wanawake! Na katika kufanana huku kwa kuteuliwa basi, wanafanana kwa mengi na mojawapo ni hilo linalomuuma roho kwani haamini kama hayo ndio malipo ya kuteiliwa!
Narejea kauli ya JK kuwa," ukitaka kula, sharti uliwe"! Possibly alipitia njia hiyo!
 
Na sasa ccm wote mlio kuwa mnamtukana matusi ya nguoni mzee Lowasa ukiwemo wewe na Msukuma na Polepole sasa mmebugia matapishi yenu
Hata Mbowe alikula matapishi yake kwa Lowasa
 
Vipi mawaziri ambao pia wamezalishwa?
Hii kashfa ni ya muda mrefu sana.. Nadhani ina kaukweli fulani hivi.. Tatizo CDM hawapendi kusemwa. Wao wanajiona wapo perfect kwenye kila kitu.. Sio sahihi!

Kuna Wabunge wa Viti Maalum wengi wamo kwenye mahusiano na viongozi waandamizi wa chama mpaka wengine kuzaa nao.

Polepole anawasaidia muepukane na hii rushwa ya ngono enyi wanawake. Anachokosea ni kudhani CCM hakuwezi kuwepo tabia hii.. Sio sahihi!
 
Ndiyo maana anaropoka ropoka tu kama zuzu
Yeye mwenyewe aliteuliwa kuwa mkuu wa wilaya then katibu mwenezi wa ccm! Nasema akiteuliwa kwa maana ya kuwa hana tofauti na wabunge wa kuteuliwa na ambao majority ni wanawake! Na katika kufanana huku kwa kuteuliwa basi, wanafanana kwa mengi na mojawapo ni hilo linalomuuma roho kwani haamini kama hayo ndio malipo ya kuteiliwa!
Narejea kauli ya JK kuwa," ukitaka kula, sharti uliwe"! Possibly alipitia njia hiyo!
 
Dawa ya vibaka wa siasa za kuropoka ropoka hovyo hovyo ni kuwaburuza mahakamani, si unaona lile tink tank mchumia tumbo mwenye vigazeti uchwara vya kufungia mihogo ana adabu siku yuko kimya baada ya kuburuzwa mahakamani anadaiwa fidia,alipe fidia au aende jela
 
Sasa hivi kafunga bakuli lake pana wanachezea mzee wa zimbabwe

Back
Top Bottom