Thubuutuuuuu nani anaweza kugusa mteule wa Jiwe?
Hili jambo linasemwa sana ,pengine kuna ukweli,uchunguzi ufanyike kuondoa hii sintofahamuIfikie mahali watanzania kwa umoja wetu tuseme hapana kwa kitendo cha katibu mwenezi wa CCM Polepole kusema kuwa wabunge wa viti maalum cdm ili wapate nafasi hiyo ni lazima washiriki ngono na mwenyekiti wa CHADEMA
Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu kwa wanawake wote wa Tanzania na popote pale ulimwenguni.
Watanzania tuupinge kwa nguvu zetu.
By mbunge Upendo Peneza bungeni Dodoma
View attachment 1075013
wapi ule umoja wa wanawake bungeni ulioundwa kipindi cha mama Makinda,nafikiri mwenyekiti wao sijui ni G.kabaka,wamshughulikie huyu chakubanga naona anapitiliza sasa kwa madaraka ya kulevyaBahati mbaya binaadamu husongwa na tabia zake mwenyewe . Wanadhani wanavyofanya kwa wabunge wao wa CCM ndivyo na vyama vingine wanavyo fanya. Ni majuzi tu mbunge wa CCM amepigwa talaka bungeni humo kwa kuendekeza umalaya.
Nashauri katiba ibadilishwe na nafasi hizi zigombewe direct toka kwa wananchi kama wenzetu wa Kenya wanavyofanya. Ili kuondoa wenye mamlaka ndani ya vyama kuvitumia vibaya.
Nadhani kuna siku mtawala atakuwa mpinzani sijui wataficha wapi nyuso zao. Kuishi kwa kuheshimiana ndio tunu yetu watanzani hawa akina Polepole wanachafua maadili na miiko yetu watanzani
Amesema wabunge, sasa kwani yeye ni mbunge! Besides, kwani anaongea uongo?
Hao awaguswi labda angekuwa CDM tena kutokea mahabusu.Aitwe kamati ya maadili na miiko ya bunge
Ifikie mahali watanzania kwa umoja wetu tuseme hapana kwa kitendo cha katibu mwenezi wa CCM Polepole kusema kuwa wabunge wa viti maalum cdm ili wapate nafasi hiyo ni lazima washiriki ngono na mwenyekiti wa CHADEMA
Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu kwa wanawake wote wa Tanzania na popote pale ulimwenguni.
Watanzania tuupinge kwa nguvu zetu.
By mbunge Upendo Peneza bungeni Dodoma
View attachment 1075013
wapi ule umoja wa wanawake bungeni ulioundwa kipindi cha mama Makinda,nafikiri mwenyekiti wao sijui ni G.kabaka,wamshughulikie huyu chakubanga naona anapitiliza sasa kwa madaraka ya kulevya
Wanatia sana hasira hawa wasiyo jitambua kuwa Tanzania ni mali ya watanzania wote bila kujali itikadi zetu
Hapa ndio naamini haki ipo chama tawala na wanaitumia vibaya
Hao awaguswi labda angekuwa CDM tena kutokea mahabusu.
Anawadhalilisha viongozi wake wasomi kina Dr BashiruHili suala ni gumu sana kwa Polepole kuli-prove!
Na sidhani kama Polepole na umahiri wake wa kujenga hoja Channel Ten
Kipindi kile mpaka mishipa ya shingo inamsimama,leo ndio kaishiwa namna hii
Anaanza siasa za maji taka na kusema vitu asivyoweza dhibitisha!
Very low of him!
Huwa wanaelewa wakiwa washachelewa,Bashiru yuko jela ile ile aliyokuwa akiwafunga na kuwauwa wanaomkosoa.Ipo siku hiyo haki itawatoka ndipo watakapo lia kilio cha mbwa koko