Ulimbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 3,766
- 4,047
Hapo ndo unasikia mtu mzima anasema " Samahani ulimi uliteleza"
Bora angesema hivyo tungemuelewa. Kwa hawa husitegemee hiyo kitu, yaani hawajitambui.
Hapo ndo unasikia mtu mzima anasema " Samahani ulimi uliteleza"
Sikujua kama Polepole ni mshamba kiasi hiki !
Me sitetei upande wowote mkuu. Nasema tu tatizo la rushwa ya ngono ni serious sana na tusiwe wepesi kulikataa kwa sababu linawagusa tunaowashabikia..
Mfano.. Mahusiano ya Mrema na Anatropia ni siri?
Wakati mwingine ni sahihi kuacha kuweka malumbano na mtu ambae hampo kwenye the same wave length, there is no way mtaelewana eapecially when one is insanePole Pole anakoelekea sasa amepitiliza.
Haiwagusi CHADEMA,bali wabunge wanawake.
Wakilinyamazia hili wabunge wote kwa ujumla wao,watakuwa wamepungukiwa pakubwa sana vichwani
NI Tatizo la walio wa chama dhaifu. Tumaini lao ni kulindwa na polisi, tiss na jwtz. Hatuwashangai wana tabia za mtoto aliedekezwa.Anapaswa awe na adabu maana watu wakianza kuvichua yao, hapatakali. Angengkuwa mpinzani ndiye kasema hivyo, MAABUSE INGEMUHUSU. Ila wao wanajiona wako sawa tu kutoa hayo matusi.
Bulembo ni mbunge na binti yake pia ni mbunge kwanini hatujasema huyo binti katumia ngono kuupata huo ubunge?Hii kashfa ni ya muda mrefu sana.. Nadhani ina kaukweli fulani hivi.. Tatizo CDM hawapendi kusemwa. Wao wanajiona wapo perfect kwenye kila kitu.. Sio sahihi!
Kuna Wabunge wa Viti Maalum wengi wamo kwenye mahusiano na viongozi waandamizi wa chama mpaka wengine kuzaa nao.
Polepole anawasaidia muepukane na hii rushwa ya ngono enyi wanawake. Anachokosea ni kudhani CCM hakuwezi kuwepo tabia hii.. Sio sahihi!
Amesema wabunge, sasa kwani yeye ni mbunge! Besides, kwani anaongea uongo?Ina maana hata yeye kupata ukatibu mwenezi wa CCM alifanyiwa, ndiyo maana anafikiri kila mtu ni kama yeye.
Unajua shida ya humu ndani tuna watu wanaongozwa na mihemko na sio tafakuri, kuna upande umeguswa ngoja uone reaction yake mkuu!Me sitetei upande wowote mkuu. Nasema tu tatizo la rushwa ya ngono ni serious sana na tusiwe wepesi kulikataa kwa sababu linawagusa tunaowashabikia..
Mfano.. Mahusiano ya Mrema na Anatropia ni siri?