Polepole na udhalilishaji wa wabunge wa CHADEMA

Hii kashfa ni ya muda mrefu sana.. Nadhani ina kaukweli fulani hivi.. Tatizo CDM hawapendi kusemwa. Wao wanajiona wapo perfect kwenye kila kitu.. Sio sahihi!

Kuna Wabunge wa Viti Maalum wengi wamo kwenye mahusiano na viongozi waandamizi wa chama mpaka wengine kuzaa nao.

Polepole anawasaidia muepukane na hii rushwa ya ngono enyi wanawake. Anachokosea ni kudhani CCM hakuwezi kuwepo tabia hii.. Sio sahihi!
 
karuwa kapigwa taraka kweupe kisa kutokuwa mwaminifu kwenye ndoa au umefumbia macho?

Ifikie mahali watanzania kwa umoja wetu tuseme hapana kwa kitendo cha katibu mwenezi wa CCM Polepole kusema kuwa wabunge wa viti maalum cdm ili wapate nafasi hiyo ni lazima washiriki ngono na mwenyekiti wa CHADEMA

Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu kwa wanawake wote wa Tanzania na popote pale ulimwenguni.

Watanzania tuupinge kwa nguvu zetu.
By mbunge Upendo Peneza bungeni Dodoma

View attachment 1075013

Sijui watu wasiokuwa na hoja kisiasa huwa wanatafuta nini kwenye siasa! Au siasa ni ajira sasa? Hata hilo lingekuwa kweli hiyo ni agenda ya kuzungumza mbele ya wananchì wakiwemo watoto wake na hata wazazi wake? Very pathetic.
 
Polepole ni mtu asiye na haya wala soni
 
karuwa kapigwa taraka kweupe kisa kutokuwa mwaminifu kwenye ndoa au umefumbia macho?
Me sitetei upande wowote mkuu. Nasema tu tatizo la rushwa ya ngono ni serious sana na tusiwe wepesi kulikataa kwa sababu linawagusa tunaowashabikia..

Mfano.. Mahusiano ya Mrema na Anatropia ni siri?
 
Ifikie mahali watanzania kwa umoja wetu tuseme hapana kwa kitendo cha katibu mwenezi wa CCM Polepole kusema kuwa wabunge wa viti maalum cdm ili wapate nafasi hiyo ni lazima washiriki ngono na mwenyekiti wa CHADEMA

Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu kwa wanawake wote wa Tanzania na popote pale ulimwenguni.

Watanzania tuupinge kwa nguvu zetu.
By mbunge Upendo Peneza bungeni Dodoma

View attachment 1075013
Na uteuzi wa DC wakisarawe je?
 
Kwa ninvyo wajuwa wabunge wa ccm watalifumbia macho na kulifanya kuwa ni tatizo la cdm kumbe hapa ni fully udhalilishaji wa kina mama wote bila kujali itikadi za vyama

Majuzi kuna Mbunge ametoa kauli kama hii hii. Alitakiwa kufuta.Kwa mujibu wa gazeti nililosoma Mama Magret Sitta alikuwa miongoni mwa waliokerwa na kauli ile. Tangu niwe mtu nzima na mtumishi wa umma baada ya Rais, Makamu na Waziri Mkuu, viongozi waliofuata kwa kuheshimiwa ni Wabunge. Ingawa Mawaziri ni Wabunge lakini walijitazama zaidi kama serikali na hivyo nao waliwaheshimu sana wabunge. Kama Polepole hajui haya basi hastahili kuwa hapo alipo.
 
Ifikie mahali watanzania kwa umoja wetu tuseme hapana kwa kitendo cha katibu mwenezi wa CCM Polepole kusema kuwa wabunge wa viti maalum cdm ili wapate nafasi hiyo ni lazima washiriki ngono na mwenyekiti wa CHADEMA

Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu kwa wanawake wote wa Tanzania na popote pale ulimwenguni.

Watanzania tuupinge kwa nguvu zetu.
By mbunge Upendo Peneza bungeni Dodoma

View attachment 1075013
Udhaifu wa Wabunge na Viongozi wa Chadema ndio unaowapa kiburi hao akina Polepole kuendelea kuwatukana.
Kwa nini Chadema hawajifunzi kutoka Polisi?
Kila wanapotaja jina la Magufuli, nje ya kumsifia, wanakamatwa na Polisi na kupelekwa Mahakamani.
Kwa nini ninyi Chadema mnashindwa kumfungulia kesi ya udhalilishaji Polepole?
Kwa nini mmekubali kuwa Mahakama zetu ni mahali pa ninyi kushitakiwa tu, lakini ninyi hamuendi kufungua mashitaka?
Kazi yenu imekuwa kulialia tu!
Angalieni tangia Bernard Membe ampeleke Mahakamani Cyprian Musiba, mmesikia au mmeona huyo Musiba akiropoka tena juu ya Membe?
Polisi wanawanyima vibali vya mikutano, au wanawazuia kufanya mikutano ya ndani, KINYUME CHA SHERIA, badala ya kumfungulia kesi huyo OCD "in his/her personal capacity, for his/her unlawful performance of duty', kwa kuvunja Sheria za nchi, kazi yenu ni kulalamika tu!
Hata Waziri George Mkuchika anapowaeleza kuwa msikubali kukamatwa ovyo ovyo, na ikitokea, muwafungulie mashtaka hao wanaowaweka mahabusu " unlawfully", mimi naona hamuelewi hata kidogo!
Binafsi, mnanishangaza sana.
Mawakili wenu kazi yao ni kuwatetea tu, kuwafungulia mawashitaka hao akina Polepole na Jeshi la Polisi hawawezi?
What is wrong with you?
I really miss Hon. Tundu Antipas Lissu.
I'm sorry for loosing my temper, but Chadema has to be proactive, not always reactive!
 
Anapaswa awe na adabu maana watu wakianza kuvichua yao, hapatakali. Angengkuwa mpinzani ndiye kasema hivyo, MAABUSE INGEMUHUSU. Ila wao wanajiona wako sawa tu kutoa hayo matusi.
Hapo ndo unasikia mtu mzima anasema " Samahani ulimi uliteleza"
 
Kwahiyo hiyo nafasi yake ya uenezi aliipata baada ya kushiriki ngono na Nani?? Au na mwenyekiti wake??,

Alivyokakamaa kweli yanasadifu, anatembea kama amekatwa center bolt!
Unasema! Mzee baba kapiga kipara? Mmm mie simo!
 
Ifikie mahali watanzania kwa umoja wetu tuseme hapana kwa kitendo cha katibu mwenezi wa CCM Polepole kusema kuwa wabunge wa viti maalum cdm ili wapate nafasi hiyo ni lazima washiriki ngono na mwenyekiti wa CHADEMA

Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu kwa wanawake wote wa Tanzania na popote pale ulimwenguni.

Watanzania tuupinge kwa nguvu zetu.
By mbunge Upendo Peneza bungeni Dodoma

View attachment 1075013
Kama yeye na mwenyekiti wake wanatabia ya kufanya ngono ili wawape ubunge wa viti maalum aendelee hukohuko na vam yake chadema hawana upumbavu kama huo.
 
Mkuu hauna sababu ya kuomba samahani maana yote uliyo yasema ni ya msingi kabisa.
Hongera sana kwa kutoa elimu maana elimu haina mwisho
Udhaifu wa Wabunge na Viongozi wa Chadema ndio unaowapa kiburi hao akina Polepole kuendelea kuwatukana.
Kwa nini Chadema hawajifunzi kutoka Polisi?
Kila wanapotaja jina la Magufuli, nje ya kumsifia, wanakamatwa na Polisi na kupelekwa Mahakamani.
Kwa nini ninyi Chadema mnashindwa kumfungulia kesi ya udhalilishaji Polepole?
Kwa nini mmekubali kuwa Mahakama zetu ni mahali pa ninyi kushitakiwa tu, lakini ninyi hamuendi kufungua mashitaka?
Kazi yenu imekuwa kulialia tu!
Angalieni tangia Bernard Membe ampeleke Mahakamani Cyprian Musiba, mmesikia au mmeona huyo Musiba akiropoka tena juu ya Membe?
Polisi wanawanyima vibali vya mikutano, au wanawazuia kufanya mikutano ya ndani, KINYUME CHA SHERIA, badala ya kumfungulia kesi huyo OCD "in his/her personal capacity, for his/her unlawful performance of duty', kwa kuvunja Sheria za nchi, kazi yenu ni kulalamika tu!
Hata Waziri George Mkuchika anapowaeleza kuwa msikubali kukamatwa ovyo ovyo, na ikitokea, muwafungulie mashtaka hao wanaowaweka mahabusu " unlawfully", mimi naona hamuelewi hata kidogo!
Binafsi, mnanishangaza sana.
Mawakili wenu kazi yao ni kuwatetea tu, kuwafungulia mawashitaka hao akina Polepole na Jeshi la Polisi hawawezi?
What is wrong with you?
I really miss Hon. Tundu Antipas Lissu.
I'm sorry for loosing my temper, but Chadema has to be proactive, not always reactive!
 
Cc😛olepole
Kama yeye na mwenyekiti wake wanatabia ya kufanya ngono ili wawape ubunge wa viti maalum aendelee hukohuko na vam yake chadema hawana upumbavu kama huo.
 
Polepole kwa sasa itoshe kusema kuwa kaleweshwa na madaraka hivyo kujiona ni mungu mtu na yupo juu ya sheria

Back
Top Bottom