Shida ni kuwa matusi, kejeli na udhalili unapoelekezwa upinzani umoja hauna maana. Na ni kwa sababu ya party caucus. Jambo likielekezwa upinzani kwao ni sherehewapi ule umoja wa wanawake bungeni ulioundwa kipindi cha mama Makinda,nafikiri mwenyekiti wao sijui ni G.kabaka,wamshughulikie huyu chakubanga naona anapitiliza sasa kwa madaraka ya kulevya
Mkurya wa dar alipewa teuzi kama shukrani baada ya kuwatukana upinzani waliomlea.Ndio ujue nani yuko nyuma yao.Hapa ndio naamini haki ipo chama tawala na wanaitumia vibaya
Kasuku hawezi kuwa kinyume na amfugaeNimeamini kabisa ukiwa ndani ya ccm akili zako zinafungwa minyororo
Huyo mkurya anatesa tu kwa hii miezi iliyobakia kwenda kwenye 2020 maana hakuna atakaye watazama tena hao wahamiaji haramuMkurya wa dar alipewa teuzi kama shukrani baada ya kuwatukana upinzani waliomlea.Ndio ujue nani yuko nyuma yao.
Shida ni kuwa matusi, kejeli na udhalili unapoelekezwa upinzani umoja hauna maana. Na ni kwa sababu ya party caucus. Jambo likielekezwa upinzani kwao ni sherehe
na wote ni wa viti maalumuItakuwa vizuri sana maana kuna wabunge na watoto wao pia ni wabunge
Huoni dhambi kwa sababu imefanyika upande uliopo.. Si ajabu huelewi hata mambo ya conflict of interest.. Unajionea sawa tu!Nani kakwambia kuwa ni dhambi mume na mkewe au mama watoto wake wote kuwa wabunge ni kosa la kisheria au kijinai?
Margate sitta yupo bungeni hadi sasa na Samuel sitta alikuwa ni mbunge pia mbona hatukusikia matusi kama hayo?
Mkurya wa dar alipewa teuzi kama shukrani baada ya kuwatukana upinzani waliomlea.Ndio ujue nani yuko nyuma yao.
Huoni dhambi kwa sababu imefanyika upande uliopo.. Si ajabu huelewi hata mambo ya conflict of interest.. Unajionea sawa tu!
Haya mambo yanafanywa na CCM tunayekemea. Nyie ambao tulitarajia mtajitofautisha nao, mnafanya yale yale halafu mkihojiwa mnakuja na utetezi dhaifu. Mbaya zaidi mnahalalisha kosa kwa kosa.
Haya. Hakuna tatizo. Yaishe!
Wkt Mbunge wa Ccm mdada Bonnah alipewa talaka na mumewe baada ya namna gani vp,nako huku Joyce Mkya akizalishwa na Mh. Mbowe na ubunge wa viti maalumu juu.
Hizo ndio siasa za Ccm vs Cdm.
Atarudi fani yake ya kutembeza yai za kyepe.Sijui za ulabu atatoa wapiHuyo mkurya anatesa tu kwa hii miezi iliyobakia kwenda kwenye 2020 maana hakuna atakaye watazama tena hao wahamiaji haramu
Mbona umemsahau Angela kuwa naye anahamishwa wizara kibao kwa sababu ya kuzalishwa?
Utamfikia polepole na makene popote pale walipo.Huu ujumbe wako ni vema ukamfikia polepole popote pale alipo
Wataupata au tayari washausoma wanajiuliza nini cha kujibu