Polepole: Mimi nipo Tanzania

Hahaa unafikiri yeye mjinga? Hayupo TZ na namshauri aendelee kukaa huko huko mpaka uchaguzi uishe ,wahuni siyo watu wazuri......#kataa_wahuni.
anajua hayupo hapa, kama wamemfanyia dada yake hivi, yeye watampoteza kabisa. Na hayuko cuba maana hao wanawez a kum deport
 
anajua hayupo hapa, kama wamemfanyia dada yake hivi, yeye watampoteza kabisa. Na hayuko cuba maana hao wanawez a kum deport
Japo kuna Uwezekano pia kwamba Polepole hayupo Tanzania
Polepole 100% hayupo TZ ,ametumia mbinu ya kijasusi kuwapoteza WAHUNI.

Amejipanga vizuri maana anawajua vizuri WAHUNI ,alishasema ukiwa umenyooka wahuni watakufanyia mambo manne so hawezi kujiweka wazi....#KATAA_WAHUNI.
 
anajua hayupo hapa, kama wamemfanyia dada yake hivi, yeye watampoteza kabisa. Na hayuko cuba maana hao wanawez a kum deport
Kama polepole anakimbia na bukta lake..je Mimi niliyeko huku kiteto nikijaa kwenye 18 si nashikwa kama mbuzi
 
Angekaa kimya kutodhihirisha ushamba wake
Aliyekwenda kumteka dadake Slow akijua Slow hakai pale na Slowslow nani mshamba?
Nani hajui utaratibu wa kumtafuta mtu.
Hata mjinga gani hategemei slowslow atakua anakaa kwa dadake.
Kumpiga makofi dada wa mtu hata kama ni mhalifu inasaidia nini?
Kwanini waende wanaume wengi na ma land cruiser na Noah na silaha kumteka mwanamke mzee anayeishi peke yake, kama sio ushamba na uoga ni nini?
 
Asante mwl.
 
hilo nalijua, ndiyo maana nikauliza maana + 1 ni USA....kumbe unaweza nunua namba ya Us ukiwa hapa ukaitumia.....
Jifunze technology mkuu.. sio namba tu. wewe mwenyewe unaeza ukawa Tanzania lakin kila anaekutafuta anakuona upo USA mpaka kucha yako ipo USA kumbe umejibanza apo Mburahati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…