GE2025 Polepole kachemka, bora angemtafuta msemaji mwingine kusema maneno yale

GE2025 Polepole kachemka, bora angemtafuta msemaji mwingine kusema maneno yale

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Zawadi Ngoda

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2009
Posts
4,367
Reaction score
2,404
Inahitaji akili ya juu unapopanga jambo kama hilo. Kama Polepole angerudisha band nyuma kidogo (2020-Uchaguzi wa wabunge), na kumuona Polepole wa wakati ule akajilinganisha na Polepole wa 2025, kweli asingesema maneno hayo.

Kitu sahihi cha kufanya katika hali hiyo ni kuingiza maneno hayo katika kinywa cha mtu mwingine, vinginevyo ataonekana yeye mwenyewe kuwa ni MUHUNI NAMBA 1.

Sasa kalishalikorogo, hana cha kufanya ispokuwa kuogelea bahari asiyeimudu akiwa PANGONI. Kwa sasa ana mambo matatu tu ya kufanya.
  • Kuomba ukimbizi ughaibuni
  • Kuomba msamaha katika Press ile ile aliyejitokeza
  • Kutokomea kusikojulikana.
 
Kabla ya kumjadili Polepole kwanza jiulize.
Alichosema ni kweli au siyo kweli?
Kilichotokea Dodoma kumpitisha samia hapo February ni sawa?
Je wewe ulimuelewa Polepole.
Kuishi uhamishoni hata kina Oliver tambo walishaishi tu wala siyo jambo jipya labda kwako
 
Inahitaji akili ya juu unapopanga jambo kama hilo. Kama Polepole angerudisha band nyuma kidogo (2020-Uchaguzi wa wabunge), na kumuona Polepole wa wakati ule akajilinganisha na Polepole wa 2025, kweli asingesema maneno hayo.

Kitu sahihi cha kufanya katika hali hiyo ni kuingiza maneno hayo katika kinywa cha mtu mwingine, vinginevyo ataonekana yeye mwenyewe kuwa ni MUHUNI NAMBA 1.

Sasa kalishalikorogo, hana cha kufanya ispokuwa kuogelea bahari asiyeimudu akiwa PANGONI. Kwa sasa ana mambo matatu tu ya kufanya.
  • Kuomba ukimbizi ughaibuni
  • Kuomba msamaha katika Press ile ile aliyejitokeza
  • Kutokomea kusikojulikana.

Hayo maneno Yana thamani yeye akiwa character, unafikiri akimpa Mwijaku Yana thamani gani?
 
Hayo maneno Yana thamani yeye akiwa character, unafikiri qkimpa Mwijaku Yana thamani gani?
Kachemka. Kwa wenye akili akiwa yeye ni character ndio hayana thamani kabisa. Kumbuka, watu wa Hitler mpaka leo wakiwa na zaidi ya miaka 90 wakipatikana kokote walikojificha wanafunguliwa kesi na kuhukumiwa.
Sembuse Polepole aliyetuharibia uchaguzi mwaka 2020.

Hatuhitaji kusahau ujinga wake, mahali pake ni Lupango tu.
 
Maneno yake hayo hayo yamevuruga watu ujue
Yeye na hao watu wake wanatapatapa tu. Wamefuatiliwa vizuri na sasa hawana nguvu tena. Walitaka wafanye hayo wakiwa ndani ya system, lakini karibu wote walishangolewa. Dr Samia yuko vizuri. Wawili tayari mafichoni, sita wamekimbia nchi, 10..........wapo.......
Walikuwa wanapigwa RADA tu, sasa wameingia katika 18 zake, waliobaki ni CHADEMA wapiga kelele mtandaoni. Hawa wamezoeleka!
 
Pole sana wewe mpare, nakupa pole sana.

Kwataarifa yako aliyechemka ni sa100
Muda utasema, aliyechemka ni nani. Toka katika kuita press Kukiwa na kamera kibao Enzi za shule ya uongozi mpaka kufanyia press Shimoni. Du, muda utasema, lakini kwa sasa yaonyesha aliyechemka ni nani.......Pangoniiii!
 
Blah blah zake zina mashiko
Hazina mashiko yoyote. Lema kampambanua vizuri sana. Polepole ni mshtakiwa namba one. Kwa kuibaka demokrasia yetu.

Eti anasema Demokrasia, hivi POLEPOLE alikuwa mtu wa kutaja na kutetea Demokrasia kweli. Mchozi unataka kunitoka nikikumbuka enzi zake.

Kama mna kifua, Leteni video zake za wakati ule, halafu zilinganisheni na za sasa. MBAKAJI MKUBWA WA DEMOKRASIA.
 
Kwani ilitakiwa iweje ili ndio iwe Polepole hajachemka? Kwako mleta mada.

Maana tunamjadili Polepole na kuacha kujadili alichokisema.
 
Inahitaji akili ya juu unapopanga jambo kama hilo. Kama Polepole angerudisha band nyuma kidogo (2020-Uchaguzi wa wabunge), na kumuona Polepole wa wakati ule akajilinganisha na Polepole wa 2025, kweli asingesema maneno hayo.

Kitu sahihi cha kufanya katika hali hiyo ni kuingiza maneno hayo katika kinywa cha mtu mwingine, vinginevyo ataonekana yeye mwenyewe kuwa ni MUHUNI NAMBA 1.

Sasa kalishalikorogo, hana cha kufanya ispokuwa kuogelea bahari asiyeimudu akiwa PANGONI. Kwa sasa ana mambo matatu tu ya kufanya.
  • Kuomba ukimbizi ughaibuni
  • Kuomba msamaha katika Press ile ile aliyejitokeza
  • Kutokomea kusikojulikana.

Form ya kuomba kugombea urais kwa chama cha mapinduzi imechukuliwa au bado?
 
Wapo watu wengi wanatamani hiyo kazi yake ya Ambassador, tumesema moyo wake haujatulia. Anatamani kuwa President kitu ambacho ni very impossible
Imposible kama kurudisha bikra kwa bibi kizee fulani! Hakuna anaeijua kesho hata kama una mamlaka na kila kitu haimaanishi wewe ni mshindi kwenye kila kitu! Usimkatie tamaa kiumbe yeyote wa Maulana!
 
Back
Top Bottom