Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,309
- 24,899
Kama haya unayosema ni kweli basi hiyo system imeoza tena ya hovyo sana.Yeye na hao watu wake wanatapatapa tu. Wamefuatiliwa vizuri na sasa hawana nguvu tena. Walitaka wafanye hayo wakiwa ndani ya system, lakini karibu wote walishangolewa. Dr Samia yuko vizuri. Wawili tayari mafichoni, sita wamekimbia nchi, 10..........wapo.......
Walikuwa wanapigwa RADA tu, sasa wameingia katika 18 zake, waliobaki ni CHADEMA wapiga kelele mtandaoni. Hawa wamezoeleka!
System gani inayosubiria mpaka mwisho wa jambo litokee? Kwanini hiyo system haija react before haya yote?
Huna ukijuacho wewe ni chawa tu
Hovyo eti wamekimbia huyo samia yupo wapi? Vikao vya chama mbona havikufanyika?
Unajibu mambo makubwa kama haya kwa kuimba nyimbo za TAARABU?