GE2025 Polepole kachemka, bora angemtafuta msemaji mwingine kusema maneno yale

GE2025 Polepole kachemka, bora angemtafuta msemaji mwingine kusema maneno yale

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hapa ndio tunaweka kituo- Unafiki, hila za kisiasa na indiscipline speech... Kwa neno moja hawa ndio wanaitwa WAHUNI. Polepole naye yumo humo. Ni unafiki mkubwa eti uwe madarakani hukufanya hata moja kati ya haya unayoyalalamikia, aliingiwa na nini? Kilichomuingia tafuta jina lolote utalolipenda lakini maana ni moja tu.
You are still stuck on ad hominem fallacy.

Google that. It seems you do not understand what it is.

Yani umeshindwa kumtenganisha Polepole na hoja alizoibua. Umeshindwa kufanya abstract thought. Hili ni tatizo kubwa sana kwa Watanzania wengi.

Watu wanaposema "even a broken clock can be right twice a day" unaelewa maana yake?
 
Unajua ni kwanini msajili wa vyama aliwapiga ban chadema?

Ni kwa mfano wa kosa kama hilo

So kwa maana hiyo ni kwamba, kosa la sisiem sio kosa ila kosa la chadema ndio kosa au sio?

Katiba na utaratibu wenu miaka yote ukoje?
Swali kwa Polepole 2015-2020.
 
Yeye na hao watu wake wanatapatapa tu. Wamefuatiliwa vizuri na sasa hawana nguvu tena. Walitaka wafanye hayo wakiwa ndani ya system, lakini karibu wote walishangolewa. Dr Samia yuko vizuri. Wawili tayari mafichoni, sita wamekimbia nchi, 10..........wapo.......
Walikuwa wanapigwa RADA tu, sasa wameingia katika 18 zake, waliobaki ni CHADEMA wapiga kelele mtandaoni. Hawa wamezoeleka!
Wewe ni mpumbavu mmoja unaejishibisha tumbo lako na kubaki kujamba jamba bila kuwa na utu hata kidogo kwa watanzania wengine
 
Imposible kama kurudisha bikra kwa bibi kizee fulani! Hakuna anaeijua kesho hata kama una mamlaka na kila kitu haimaanishi wewe ni mshindi kwenye kila kitu! Usimkatie tamaa kiumbe yeyote wa Maulana!
Maiti peke yake ndiyo ya kuikatia tamaa, lakini binadamu ambaye yu hai, chochote kinaweza kutokea muda wowote.
 
Wapo watu wengi wanatamani hiyo kazi yake ya Ambassador, tumesema moyo wake haujatulia. Anatamani kuwa President kitu ambacho ni very impossible
Maiti peke yake ndiyo ya kuikatia tamaa, lakini binadamu ambaye yu hai, chochote kinaweza kutokea muda wowote.
 
Kabla ya kumjadili Polepole kwanza jiulize.
Alichosema ni kweli au siyo kweli?
Kilichotokea Dodoma kumpitisha samia hapo February ni sawa?
Je wewe ulimuelewa Polepole.
Kuishi uhamishoni hata kina Oliver tambo walishaishi tu wala siyo jambo jipya labda kwako
FIXING FAILED STATE by Ashraf Gani (Rais wa Afghanistan aliyeangushwa na Taliban)
Nashauri kakisome hicho kitabu, kitakupanua sana mawazo na kutofautisha kati ya Theory na kuwa jikoni katika kutekeleza ajenda. Hapo utamfahamu Polepole anakalia kiti gani.
 
Kitabu kitasomwa kama vingine
Bado swali lipo palepale bwana msomi sana.
Ulimwelewa polepole?
Alichokisema ni kweli au uongo?
Je siyo kweli kwamba samia alijipitisha kugombea uraisi hapo February?
Kama ni kweli kosa la polepole liko wapi? Kama siyo kweli kwann vikao havijaendelea huko Dodoma hadi kuahirishwa bwana msomi?
 
Tupo pamoja mkuu. Tusishabikie hizi porojo za Polepole, bali CCM kama chama cha siasa kuna matatizo mengi yanayotakiwa kubadilishwa. Huu ni mwaka 2025, huwezi kukiendesha chama kwa tamaduni na kanuni za mwaka 1990. Ni lazime kibadilike!

Pili kama chama tawala. Hapa ndio pagumu zaidi, kwani kikiwa kama chama kilichoshika Dola ni Lazima kiwe na utashi wa kufanya mabadiliko yatayoungwa mkono na asasi nyingine, wadau mbalimbali na wananchi kwa ujumla.

Ndio maana sitaki kusikia Porojo za Polepole kabisa. Kwa sababu alipata nafasi hiyo, na Company yake ilikataa mabadiliko yoyote yale na kusema kuwa KATIBA sio kipaumbele chao. Ajabu leo eti anapiga kelele.
Mkuu upo sahihi sana kwenye hizo observations.
Wananchi wanapaswa kujua kuwa ccm kama injini imeoza kila kona kiasi kwamba total overhaul ndo itasaidia.
Si utekaji, utesaji wala mauaji ya wakosoaji!
Nyerere aliwaonya alipoona wanaanza kupotoka. Bahati mbaya wakampuuza, hata hotuba zake hawataki kusikiliza!
 
Yeye na hao watu wake wanatapatapa tu. Wamefuatiliwa vizuri na sasa hawana nguvu tena. Walitaka wafanye hayo wakiwa ndani ya system, lakini karibu wote walishangolewa. Dr Samia yuko vizuri. Wawili tayari mafichoni, sita wamekimbia nchi, 10..........wapo.......
Walikuwa wanapigwa RADA tu, sasa wameingia katika 18 zake, waliobaki ni CHADEMA wapiga kelele mtandaoni. Hawa wamezoeleka!
Madaraka ni Matamu sana sema madaraka ya kupata huku umeumiza watu sizani kama ni Matamu
 
Wewe ni mpumbavu mmoja unaejishibisha tumbo lako na kubaki kuja..ba ja...ba bila kuwa na utu hata kidogo kwa watanzania wengine
Mfuate Polepole uone atapokupeleka. Kwangu hana point, as long as alishindwa kuziishi point zake, hazina uzito kwangu.
Ni muhuni tu, mnafiki daraja namba 1 na ni mroho wa madaraka.
 
You are still stuck on ad hominem fallacy.

Google that. It seems you do not understand what it is.

Yani umeshindwa kumtenganisha Polepole na hoja alizoibua. Umeshindwa kufanya abstract thought. Hili ni tatizo kubwa sana kwa Watanzania wengi.

Watu wanaposema "even a broken clock can be right twice a day" unaelewa maana yake?
Mimi sina broken clock, bali nina broken Polepole. Ukitaka tumjadili broken Polepole na broken points zake.
 
kuna yule mzee wa mosh kataja na vifungu vya sheria vikivyokosewa na anasema anaenda mahakamani it seems kweli ccm wamekosea ila machawa wanadeliver whatever they have been fed, ili wasikatwe huku 7 dai, I can understand...Kitu kinachonishangaza ni kwamba Tanzania ukweli unafichwa kwa guarana kubwa sana, yan Polepole aite press, police waende kumrukia dadake, youtube ipigwe pini na the likes zipigwe pini kuna nini kinafichwa? why kifichwe? kwa faida ya nani? ndio maswali nakutumia hapa
 
Mimi sina broken clock, bali nina broken Polepole. Ukitaka tumjadili broken Polepole na broken points zake.
Sijadili mtu, najadili hoja.

Kwa sababu hata kichaa siku moja anaweza kuwa na hoja nzuri, wewe ukaidharau kwa sababu imetoka kwa kichaa.

Kujadili mtu badala ya hoja ni fallacy.

Ad hominem fallacy.
 
Haya! Ninachotaka kusema, leteni kauli zake akitetea ubakaji wa Demokrasia wakati ule, kwa mfano Uchaguzi wa wabunge 2020. Twende pole pole.

..alichokuwa akifanya Polepole wakati wa Jpm hakina tofauti na anachofanya Mchengerwa wakati huu wa Ssh.
 
Back
Top Bottom