Polepole, hawa watu wakiendelea kushupaza shingo kuhusu huo mfumo wa wizi wa kura, toka tena hadharani ueleze unavyofanya kazi na uwataje wahusika

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,142
Reaction score
162,537
Baada ya kuanika huu uovu ambao mwenyewe umekiri kuhusika kuuandaa ingawa ulisema uliandaliwa kwa malengo mazuri tofauti na sasa, elewa utashambuliwa sana mitandaoni na pia itatumika propaganda kubwa kutaka kuaminisha watu kuwa ulichoongea hakiwezekani na ni uongo ingawa hawatakubali uchunguzi huru kama ulivyoshauri ili ukweli uthibitike.

Hivyo, wakianza propaganda zao, nakushauri utoke tena hadharani safari hii ufafanue kwa kina jinsi mfumo huo unaounganisha NIDA, CCM na Tume ya Uchaguzi unavyofanya kazi au unavyoweza kutumika katika kutengeneza matokeo fake ya kura.

Vile vile, wataje wanaohusika na huo mfumo kama ulivyogusia ila majina yao ukaamua kuyahifadhi.
 
Maneno maneno hayasaidii tena.
Tunahitaji kuona hatua zakuzuia na kukomesha, HP naye ni mnufaiaka wa mfumo.

HP na wenzake wameshindwana kwenye suala la maslahi kama ilivyokuw kwa EL na wenzake.
Akili ya HP na hao waliopo CCM ni zilezile, alituambia analinda kiapo chake, tunashindwa kuelewa ni vita ya maslahi ya ndani baina ya makundi hasimu kama ilivyo Mexico kati ya Sinaloa cartel vs CJNG cartel.

Tunapaswa kukaa kwenye reli ya NRNE na kumpigania TL aachiwe, tuache huu upumbavu wakutegemea hata shetani ili tutimize ndoto za kuitoa CCM, CCM haiwezi kutoka Overturn na hizi flip flop strategies na sio mipango imara ya muda mrefu yenye consistency.

HP alikuwepo wakati TL anapigwa risasi pale Dodoma,, Ben Sanane na wengine wanapotezwa na alikuwa upande ule akiwa na mamlaka kubwa si ajabu ni sehemu ya mipango hiyo.

ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
 
Sasa HP ataitwa Baba mtakatifu aliye lisanua taifa kutokana na mfumo wa wizi wa kura…
Kwa kuwa anaujua unavyofanya kazi, sasa atusanue pia namna ya kuudhibiti huo mfumo- nchi hii inachezewa sana…

Na ifike mwisho wanaoichezea nao pia waone haya…
 
Maneno maneno hayasaidii tena.
Tunahitaji kuona hatua zakuzuia na kukomesha, HP naye ni mnufaiaka wa mfumo.

HP na wenzake wameshindwana kwenye suala la maslahi kama ilivyokuw kwa EL na wenzake.
Akili ya HP na hao waliopo CCM ni zilezile, alituambia analinda kiapo chake, tunashindwa kuelewa ni vita ya maslahi ya ndani baina ya makundi hasimu kama ilivyo Mexico kati ya Sinaloa cartel vs CJNG cartel.

Tunapaswa kukaa kwenye reli ya NRNE na kumpigania TL aachiwe, tuache huu upumbavu wakutegemea hata shetani ili tutimize ndoto za kuitoa CCM, CCM haiwezi kutoka Overturn na hizi flip flop strategies na sio mipango imara ya muda mrefu yenye consistency.

HP alikuwepo wakati TL anapigwa risasi pale Dodoma,, Ben Sanane na wengine wanapotezwa na alikuwa upande ule akiwa na mamlaka kubwa si ajabu ni sehemu ya mipango hiyo.

ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Hayo mengine umeobgea sawa lakini Polepole sio kikwazo katika kumpambania Lissu
 
Baada ya kuanika huu uovu ambao mwenyewe umekiri kuhusika kuuandaa ingawa ulisema uliandaliwa kwa malengo mazuri tofauti na sasa, elewa utashambuliwa sana mitandaoni na pia itatumika propaganda kubwa kutaka kuaminisha watu kuwa ulichoongea hakiwezekani na ni uongo ingawa hawatakubali uchunguzi huru kama ulivyoshauri ili ukweli uthibitike.

Hivyo, wakianza propaganda zao, nakushauri utoke tena hadharani safari hii ufafanue kwa kina jinsi mfumo huo unaounganisha NIDA, CCM na Tume ya Uchaguzi unavyofanya kazi au unavyoweza kutumika katika kutengeneza matokeo fake ya kura.

Vile vile, wataje wanaohusika na huo mfumo kama ulivyogusia ila majina yao ukaamua kuyahifadhi.
BAO LA MKONO.
 
Polepole ametubu mbele za Mungu na mbele za watanzania.
 
HP kashafanya yake apo kafika pazuri pamebaki kwa Wananchi sasa.
Kajamaa katakuwa kamemaind sana maana kanapiga fimbo za utosi tu bila kuchoka.
 
Lissu ni Nani, alisema tutazuia uchaguzi. Mpaka hapa tulipofika kuna uchaguzi mwaka huu?
 
Back
Top Bottom