Haka kajamaa kamejishushia heshima sana, sasa ndio nini icho kaongea. Mbona ni kama anajipaka kinyesi usoni. Wewe mtu kashinda kura za maoni mkamkata sababu m'memuona hafai sasa teuzi gani atakayofit mtu wa aina iyo..? Halafu kwani yeye Mungu kiasi awe na uhakika watashinda mpaka anafikia hatua ya kuwatisha wenzie tena wengine kiumri ni sawa na baba yake?? Hizo teuzi hazitolewi kwa kugawa kama maandazi.Katibu wa uenezi wa CCM ndugu Polepole amewataka wagombea waliofeli kwenye kura za maoni wawapigie kampeni walioshinda pindi kampeni zitakapofunguliwa.
Polepole amesema CCM ni chama kikubwa tena ni taasisi ya Umma hivyo ina vyeo na fursa nyingi kwahiyo wale watakaokaidi kukampenia wenzao watakosa teuzi siku za usoni.
Chanzo: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Inatosha watuachie nchi yetu, wasituvuruge kabisa.