Polepole azungumza na waandishi wa habari akiwa na ulinzi wa wasaidizi wake wote wanawake

😹😹 Muda wowote kuanzia sasa tutegemee Rehema Nchimbi kutangazwa katibu Mkuu!! Kina baba tuwezeshwe,,,
Mwaka ule nadhani 1995, Rehema Nchimbi ndiye aliyetumika kumuwekea sumu Ippy Malecela wakiwa UVCCM.. Ippi Malecela alikufa, damu yake bado inamlilia Rehema Nchimbi na ndugu yake Emmanuel Nchimbi
 
Bwashee ukoo ushirombo unakunywa mbege nini?

Kwani kulikuwa na ulazima wa kusema wanawake
 
Mwaka ule nadhani 1995, Rehema Nchimbi ndiye aliyetumika kumuwekea sumu Ippy Malecela wakiwa UVCCM.. Ippi Malecela alikufa, damu yake bado inamlilia Rehema Nchimbi na ndugu yake Emmanuel Nchimbi
Mhhh hivi kimbunga jobo imekuwaje kwani
 
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole anazungumza na waandishi wa habari muda huu akiwa ameambatana na wasaidizi wake ambao wote ni wanawake.

Taarifa kamili inakuja.
Kwanini ukusubiri iliupate hbr kamili ulikuwa naalaka gani?
 
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole anazungumza na waandishi wa habari muda huu akiwa ameambatana na wasaidizi wake ambao wote ni wanawake.

Taarifa kamili inakuja.
Kazi kweli kweli yaani taarifa zako zina episode.
 
Alhamisi 29 Aprili 2021
Dodoma Tanzania

KATIBU Mwenezi wa chama cha Mapinduzi (CCM) leo Aprili 29, amezungumza na wanahabari kuelekea mkutano mkuu wa CCM utakaofanyika kesho Aprili 30, jijini Dodoma..

ila chakubanga ana vituko sana
 
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole anazungumza na waandishi wa habari muda huu akiwa ameambatana na wasaidizi wake ambao wote ni wanawake.

Taarifa kamili inakuja.
Hao Wasaidizi ( ambao ni Wanawake ) wazingatie sana tu Matumizi ya Condoms muda wote wawapo Dodoma au Dar es Salaam.
 
Back
Top Bottom