johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,145
Uko na maphoto au video tuone???Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole anazungumza na waandishi wa habari muda huu akiwa ameambatana na wasaidizi wake ambao wote ni wanawake.
Taarifa kamili inakuja.
Aaah Winnie usinifanyie hivyo hebu geuka nikuoneUko na picha tuone
... mzee Mdee hayupo kwenye hiyo list?Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole anazungumza na waandishi wa habari muda huu akiwa ameambatana na wasaidizi wake ambao wote ni wanawake.
Taarifa kamili inakuja.
Humphrey Polepole, anasaka sana kickKatibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole anazungumza na waandishi wa habari muda huu akiwa ameambatana na wasaidizi wake ambao wote ni wanawake.
Taarifa kamili inakuja.
No atatangazwa mara baada ya mama kuchukua uchairMuda wowote kuanzia sasa tutegemee Rehema Nchimbi kutangazwa katibu Mkuu!! Kina baba tuwezeshwe,,,
Bila picha mkuu?Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole anazungumza na waandishi wa habari muda huu akiwa ameambatana na wasaidizi wake ambao wote ni wanawake.
Taarifa kamili inakuja.
wacha tusubiri tuone - leo wangapi wamehamia CCM kuunga juhudi.....Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole anazungumza na waandishi wa habari muda huu akiwa ameambatana na wasaidizi wake ambao wote ni wanawake.
Taarifa kamili inakuja.
Wanamsaidia nini sasa??! Hizo ni mbwembwe tu. Oh walinzi, mara Wasaidizi!Ingetosha tu kusema wasaidizi wake. Usiwe kama boflo
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole anazungumza na waandishi wa habari muda huu akiwa ameambatana na wasaidizi wake ambao wote ni wanawake.
Taarifa kamili inakuja.
Sasa hivi haitamsaidia kitu kama alishindwa kuvuma kipindi cha msukuma mwenzake.Humphrey Polepole, anasaka sana kick
Huyo ni boflo tuIngetosha tu kusema wasaidizi wake. Usiwe kama boflo