Polepole avuliwe hadhi ya Ubalozi, hastahili tena!

Mamlaka zimvue hadhi ya Ubalozi Mheshimiwa Polepole kwa kukiuka misingi ya Wana diplomasia - Vienna Convention on Diplomatic Relations (1964). Abaki kwenye UHANAHARAKATI uchwara.
Vienna Convention inahusu mambo ya ndani?🙄
 
Na Wewe uvuliwe ubingwa (marinda)kwa kuandika ujinga
 
Mamlaka zimvue hadhi ya Ubalozi Mheshimiwa Polepole kwa kukiuka misingi ya Wana diplomasia - Vienna Convention on Diplomatic Relations (1964). Abaki kwenye UHANAHARAKATI uchwara.
Mnavua tu kama chupi si ndio?

No reform No Election
 
Mamlaka zimvue hadhi ya Ubalozi Mheshimiwa Polepole kwa kukiuka misingi ya Wana diplomasia - Vienna Convention on Diplomatic Relations (1964). Abaki kwenye UHANAHARAKATI uchwara.
Nitasema ukweli daima, fitina kwangu ni mwiko - Ahadi ya wanachama.
 
Mamlaka zimvue hadhi ya Ubalozi Mheshimiwa Polepole kwa kukiuka misingi ya Wana diplomasia - Vienna Convention on Diplomatic Relations (1964). Abaki kwenye UHANAHARAKATI uchwara.
ye mwenyewe alishasema hautaki ubalozi kwenye serikali isiyojali haki na iliyozungukwa na wahuni.
 
Mamlaka zimvue hadhi ya Ubalozi Mheshimiwa Polepole kwa kukiuka misingi ya Wana diplomasia - Vienna Convention on Diplomatic Relations (1964). Abaki kwenye UHANAHARAKATI uchwara.
Usiwe mjinga

Kama angekuwa na shida na hayo ma vyeo asingethubutu kujiuzuru

Polepole is smart ahead of Samia by far
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom