Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,387
- 100,502
- Thread starter
- #41
Unatuumiza macha mbuzi wa CCM wewe!
Watoto wako wana hasara kupata baba kama wewe.
wameishazima....facebook bila vpn hutoboi! 1Chonde chonde msizime mtandao basi badaye tusikilize
Hoja zake 😄
Ova
namtazama kupitia facebook + VPN!unaruka kutokea wapi --- bila bila
Wanamuogopa Pole Pole mno .wameishazima....facebook bila vpn hutoboi! 1
unaruka kutokea wapi --- bila bila
Samwel Sitta, Rostam Aziz, na Ngoyai Lowassa wanamuingiza Kikwete kwenye mtandao....check video!
anazingua sananamtazama kupitia facebook + VPN!