GE2025 Polepole atangaza kuinanga CCM leo usiku tena

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ukitumia Lugha ya KUINANGA ni kama ana i nyanyasa CCM lakini ana ieleza CCM ukweli na Nini kinatakiwa kifanyike.
Pole pole anaipenda CCM na Nchi kwa ujumla, Ni kama Gwajima tatizo lililopo ni Kushupaza shingo kwa wahusika.

Bahati Mbaya baadhi ya watu wanafikiri Mambo yaki haribika watakao athirika ni CCM, ila ki uhalisia uharibifu utakua na impact ya Nchi mzima.
Zikianza vurugu hazita chagua chama, Haki uinua taifa.
HAKUNA SHIDA YOYOTE NDANI YA CCM AMBAYO POLE POLE ANADHANI ANAIPIGIA KELELE ZAID YA KUTUPWA NJE YA MFUMO AMBAO HAUMTAKI...AACHE KUPIGA PIGA KELELE
 
no reforms no election.
 
HAKUNA SHIDA YOYOTE NDANI YA CCM AMBAYO POLE POLE ANADHANI ANAIPIGIA KELELE ZAID YA KUTUPWA NJE YA MFUMO AMBAO HAUMTAKI...AACHE KUPIGA PIGA KELELE
Chonde chonde msizime mtandao basi badaye tusikilize
Hoja zake 😄

Ova
 
😄 kwa hyo unataka kusema muoshahuoshwa

Ova
MUACHENI KARMA IFANYE KAZI NA KWAKE FALA HUYO,TUNDU LISU ANAPIGWA RISASI MANUSURA KUFA YEYE ALIKUWA ANASHANGILIA KUWA AMETUMWA NA MABEBERU,,SASA ANATAKA KUTUELEZA KITU GANI??
 
Mkuu na hii afcon inayoendelea leo tunaenda zimiwa inteenet ni aibi kwa nchi.
Washauri wa mama wanamuangamiza
 
KWANZA NANI AMFUNGIE INTERNET MWENDAWAZIMU KAMA POLE POLE??HIYO ANAWAONGOPEA WAPUUZI TUH,KAMA SERIKALI INGEKUWA NA HAJA NAE WHY IHANGAIKE KUMFUNGIE INTERNET,SI INAWAMBIA TUH TCRA WAISUSPEND HIYO ACCOUNT??

ACHENI KUONGOPEWA KIBOYA NA HUYO FALA
 
Unatuumiza macha mbuzi wa CCM wewe!
Watoto wako wana hasara kupata baba kama wewe.
 
Back
Top Bottom