Siyo kuminya Siasa mbadala tu, Ongeza na hizi:-Wabongo wengi ni kama walianza kumjua Magu akiwa Rais...
Lakini ka utakuwa ulimfuatilia tangu akiwa waziri, jamaa alikuwa mwamba sana...
Kuminya siasa mbadala na CCM hii ndio kasoro pekee katika uongozi wake iliyoweka doa jeusi...
Allen Kilewella unejivunjia heshima yako kwa kiasi kikubwa kwa kuanzisha uzi huu. Yaani elimu yako yote, exposure yako yote na contacts zako za vyombo vya habari vya nje, wewe kweli ndiyo wa kuanza kumuabudu Humphrey Polepole??Jamaa ni bilionea... Si ajabu ndiyo maana kule kigamboni alikatwa😄😆
Wewe ni chawa wa Magufuli yeye ni chawa wa Samia mna utofauti gani ?Kwa ujinga wako huwa unachagua tukio la Lissu peke yake ili kutimiza lengo lako. Samia anaua vijana wasio na hatia kama nzi lakini wewe ndiye chawa wake mkubwa.
Kama unatiririkwa machozi kwa picha za msiba wa Magufuli basi wewe machozi yako hayana thamani. Wewe ni bwege tuMkuu wangu Allen Kilewella naungana na fikira zako Concrete, na mimi nakiri nilikua kwenye mkondo huo huo wa kwako, lakini toka majuzi nimekua napitia picha za maombolezo ya JPM natiririkwa na machozi ya kiume.
Perverse 😞
Watanzania too wepesi wa kusahau. Hebu kumbukeni historia ya nchi yetu hadi November 2015, haikuwa na haya mambo tunalalamika. Ni Magufuli ndiyo katufikisha hapa
Hili tukio halikuwa la kibinadamu kabisa.Unaongelea matibabu ya TAL? Kwanini usiongelee tukio la kutaka kumuua Lissu? Magufuli alikuwa ni shetani kwenye umbo la binadamu (Satan trapped in human body)
Alipanga kabisa timu ya wachimba kaburi Ikungi, yaani maiti ikitoka Dodoma isije Dar iende moja kwa moja Ikungi.
Alizuia Lissu asifanyiwe maombi na watu walio print Tshirt za Getwell TAL walikamatwa.
Akamnyang'anya ubunge wake kwa kushirikiana na Ndugai na akamnyima mafao ya ubunge
Japo Polepole kaonyesha hata kama umeniteua lakini natakiwa kufuata maadili ya kazi na viapo vya hiyo kazi na si kuwa upande wako hata kama unatindiganya mambo.Kwanini unawalaumu vyombo vya ulinzi ilihali unawajua wanaowateua???
Wewe ni boss ukiniteua niwe RPC unadhani nitatenda kinyume na matakwa yako?
Nadhani hakumuamini mtu.Ukanda siyo kweli.... Hizi ni propaganda tu. Ila la kukataa kukosolewa ndiyo linaloleta ukakasi. Jee ilikuwa ni tabia yake ya asili au ni matokeo ya taarifa alizokuwa anapewa?
Kwa hiyo Magufuli ndiyo alikuwa anawachagulia wananchi mbunge badala ya wananchi kumchagua mwakilishi wao?Hakurudishwa tena bungeni....Juma Nkamia na yule ponjolo WA Rukwa Au umesahau?
Wewe ndiye mjinga kama unadhani CAG aliondolewa kihalali.Wewe jamaa mjinga sana huyo CAG alitumika pia na wanamtandao
Natamani Polepole amguse MakondaWakati akiwa hai nilikuwa namuona John Pombe Magufuli pamoja na kutaka aonekane mzalendo, niliona kuwa ni mtu asiye na nia njema Kwa Taifa letu na mtaka sifa.
Lakini baada ya Polepole kuelezea mambo mengi yaliyokuwa yanafanyika nyuma ya pazia, sasa nimeanza kuelewa kuwa Magufuli alikuwa na dhamira njema kwa Tanzania.
Kumbe Magufuli baada ya kugundua fedha zinachotwa serikalini, yeye akaamua kuziwekeza kwenye miradi ili kama ni madeni ni bora watanzania walipe lakini wakiwa wana miundombinu inayowasaidia kuendesha maisha yao.
Zile hotuba zake kama anapambana na mara majeshi au watumishi wa Serikali, Leo zinaleta mantiki zaidi kuliko wakati akizitoa.
Magufuli alikuwa anajua yupo peke yake kwenye harakati za kuijenga Tanzania maana hata watu kama Makonda kumbe nao Wana vimelea vya CCM mtandao.
Ukweli utajulikana siku moja.
Amewaua akina nani? Au badala ya kuwa macho mdiliko umekuwa macho malyenge!!Kwa ujinga wako huwa unachagua tukio la Lissu peke yake ili kutimiza lengo lako. Samia anaua vijana wasio na hatia kama nzi lakini wewe ndiye chawa wake mkubwa.
Tusameheni wakuuTuliwaasa Magufuli ni jembe matusi yakawa mengi. Haichukui muda kujua mtu aliye-real.
Ni nani anayepima mtu kuwa ni adui wa Taifa au Rafiki wa Taifa? Je kama ni adui wa Taifa kwa nini hakumpeleka Mahakamani? Hakuna mtu mwenye haki ya kutoa uhai wa mtu?? Hebu shirikisha ubongo kwenye kabla ya kuandikaIli umhukumu lazima ujue aliambiwa Nini kuhusu huyo...Je kama alimwona kama adui wa Taifa wewe unge react vipi?
Shida yake kubwa ilikuwa ni ukabila na ukanda, pamoja na kushindwa kukubali kukosolewa
Yuko na roho za kina Ben saa8, Mawazo...Naunga mkono hoja na ndio maana yuko peponi mbinguni, kwa Baba yake!, yuko na Baba yake! Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Watanzania wajinga sana mkuu. Yaani Polepole ambaye alikuwa ni architect wa kuharibu Tanzania yetu, leo kakosa nafasi nyeti kwenye Serikali na kuanza kuropoka, eti watu wanamuona mzalendoNi ujinga kumfananisha mwehu na Xi
Wewe bado ni mdogo sana kwenye siasa kama kirahisi tu unaendeshwa na propaganda za polepole.
Kwa kweli hili saga la polepole limefanya nijue kuwa Watanzania wengi bado ni wajinga sana katika mambo ya siasa inasikitisha hawa ndio wanataka kupata uhuru kamili wa kuchagua kiongozi makini so sad.
Kwa nchi ilipofikia hakuwa na namna nyingine..... and of course kuna viongozi wa CDM pia kwao maendeleo ya nchi si kitu kikubwa chama chao kichukue dola....Hawa ungewezaje kudeal naoKosa lake ni kuua demokrasia na kuamini kuwa maadui zake walikuwa Chadema kumbe maadui alikuwa anakula nao meza moja.