Polepole adai yuko Morogoro, apigilia msumari kauli zake

Polepole adai yuko Morogoro, apigilia msumari kauli zake

Polepole hana adabu, kwa akili ya kawaida tu, enzi za Magu, watu waliteswa sana tu na kupotezwa pia, ila Polepole alikuwa kimyaaa, tena alikuwa mshauri mkubwa wa JPM kwenye Chama..!!

Polepole pumbaf kabisa, mnafiki namba moja
 
View attachment 3416174

Akizungumza katika mahojiano na Jenerali Ulimwengu Julai 22, alitekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba amesema kwa sasa yuko mkoani Morogoro na anatarajia kuja Dar es Salaam.

Pia ameendelea kusisitiza madai yake yabuvunjifu wa katiba ya CCM na taratibu zake katika kumpata mgombea urais wa mwaka huu.
mbona google location inaonyesha yuko chato?
 
Mnajua nacheka nini'?!!!!
Ni vile kuona hii minyumbu inavyohangaishwa na kajitu kama polepole. Inafurahisha sana Kwakweli🤣🤣🤣🤣
wewe, sikuhizi hakuna kuaminiana ukiona hata mende chukua panga mkate
 
Back
Top Bottom