Polepole adai yuko Morogoro, apigilia msumari kauli zake

Polepole adai yuko Morogoro, apigilia msumari kauli zake

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,743
Reaction score
2,601


Akizungumza katika mahojiano na Jenerali Ulimwengu Julai 22, alitekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba amesema kwa sasa yuko mkoani Morogoro na anatarajia kuja Dar es Salaam.

Pia ameendelea kusisitiza madai yake yabuvunjifu wa katiba ya CCM na taratibu zake katika kumpata mgombea urais wa mwaka huu.
 
Back
Top Bottom