Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,266
- 4,716
Mimi namkubali. Alichofanya ni sahihiHili halitaishia kwa watumishi waliokuwa TMAA pekee, litaenda pakubwa sana. Taasisi zinazolipa CEO na DG zaidi ya 12M zipo za kutosha.
Ila mzee mkubwa anafanya kazi kwa mihemko sana, hii ni hatari sana!!!