Nyange
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 3,516
- 1,865
Hapana, akisha lisokota akapewa mic, mambo huwa hivyoHili halitaishia kwa watumishi waliokuwa TMAA pekee, litaenda pakubwa sana. Taasisi zinazolipa CEO na DG zaidi ya 12M zipo za kutosha.
Ila mzee mkubwa anafanya kazi kwa mihemko sana, hii ni hatari sana!!!
Huo wivu mkuuRais yupo sahihi kabisa kwanini wengine wapate mamilioni na huku wengine wanapata vi laki tu!!!
Mzee tengeneza nchi ili watu tuheshimiane.