Kuna classmate wawili, mwanajumuiya mmoja na wengineo.
Nimesikia agizo la rais juu ya kupunguziwa mishahara najua agizo hili litaathiri pakubwa mfumo wenu wa maisha.
Jambo la msingi mjipange kukabiliana na mabadiliko mapya ila msiache kazi maana kipindi hiki biashara ni ngumu mno.
Endeleeni kupambana hata mtaani kuna watu hata kazi hawana na maisha yanaenda.
Watumishi wengine pia tujipange lolote laweza tokea kipindi hiki.