Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Hawa wakishakua karibu na rais Wana uwezo wa kuingia popote na kuvuta mpunga au kutoa amri .hasaa akiwa hajielewii. Hukumuona alivokua anapenda kuonekana sana akiwa benet na mama mpaka mama akitaka kuachia ushuzi anashindwa jamaa lipo pembeni utadhani yeye ndio ADC? kwanza ubalozi kampendelea sanaa angempa hata nafasi ya DC au afisa tarafa inamtosha.Kwani alifanya kosa gani mpaka mama yake kaamua kutengana nae?