Pole sana Waziri Salum Rajab - kimekurambaaa!

Pole sana Waziri Salum Rajab - kimekurambaaa!

😅😭💔

Not necessarily wakawa Alma mater wa Ivy leagues university, Ila baadhi walikuwa na ubongo mzuri na exposure nzuri.
Wameshakuwa marais 6 sasa hivi, Hebu tupe rank ya smartest to the dumbest
 
Huu ndio mwanzo wa serikali haramu kuanguka

Hata awabadilishe mara kumi kwa week
Adui yako ni wa karibu hatoki mbali.

Hawa ndio wataunda kikosi cha uasi watatoa siri zote watadhulumiana uhai

Yajayo ni mengi..
 
Wewe kataa kwenda Ubalozi.

Danganya unataka kuendesha biashara zako binafsi (utaeleza ni biashara gani).

Danganya pia kuwa unauguliwa na kaka yako.

Ukiweza, wambie siafu (chawa) wako kuwa umeamua kujiuzulu.

View attachment 3523795

Tangu umefika ofisi kuu, umesababisha ujinga mwingi sana nchini. Umeumiza wengi. Kibri kilitamalaki!

Uliwadanganya wengi kuwa wewe ndo unaendesha mfumo - kiko wapi?

Na wote uliokuwa ukiwahonga tutawaanika. Na pesa ulizoficha Dubai zitafikiwa!

Kila mmoja atachanganyikiwa kwa wakati wake

View attachment 3523797

Kweli JF kiboko.

Yaani walishajua week moja kabla kuwa huyu bwana katumbuliwa? Shikamoo JF.
 
Wewe kataa kwenda Ubalozi.

Danganya unataka kuendesha biashara zako binafsi (utaeleza ni biashara gani).

Danganya pia kuwa unauguliwa na kaka yako.

Ukiweza, wambie siafu (chawa) wako kuwa umeamua kujiuzulu.

View attachment 3523795

Tangu umefika ofisi kuu, umesababisha ujinga mwingi sana nchini. Umeumiza wengi. Kibri kilitamalaki!

Uliwadanganya wengi kuwa wewe ndo unaendesha mfumo - kiko wapi?

Na wote uliokuwa ukiwahonga tutawaanika. Na pesa ulizoficha Dubai zitafikiwa!

Kila mmoja atachanganyikiwa kwa wakati wake

View attachment 3523797
Kimemlamba vipi wakati ubalozi ni mkubwa kuliko alipokuwa? Mi pia simpendi ila mnashangiliaga ujinga.
 
Ndio yeye
Nimeamua kunyanyua miguu na mikono yote,bJF ni zaidi ya cyclopedia.

Huyu jamaa na yule jamaa aliyesema mwisho wa kelele za Magufufuli ni 2021 na ikawa hivyo; nimeamua kuwanyanyulia mikono juu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom