Pole sana Waziri Salum Rajab - kimekurambaaa!

Pole sana Waziri Salum Rajab - kimekurambaaa!

Wewe kataa kwenda Ubalozi.

Danganya unataka kuendesha biashara zako binafsi (utaeleza ni biashara gani).

Danganya pia kuwa unauguliwa na kaka yako.

Ukiweza, wambie siafu (chawa) wako kuwa umeamua kujiuzulu.

View attachment 3523795

Tangu umefika ofisi kuu, umesababisha ujinga mwingi sana nchini. Umeumiza wengi. Kibri kilitamalaki!

Uliwadanganya wengi kuwa wewe ndo unaendesha mfumo - kiko wapi?

Na wote uliokuwa ukiwahonga tutawaanika. Na pesa ulizoficha Dubai zitafikiwa!

Kila mmoja atachanganyikiwa kwa wakati wake

View attachment 3523797

Mimi nasubiria listi ya waliokuwa wanahongwa
 
Ahaaaaa wabongo bwana,,,huyo Ikulu hatoki kapewa cheo cha ubalozi ili awe Katibu Mkuu Kiongozi,,tunza hii post

Ila kuwa Katibu Mkuu Kiongozi unatakiwa uwe kichwa kweli kweli akili kubwa sana inahitajika
 
Ahaaaaa wabongo bwana,,,huyo Ikulu hatoki kapewa cheo cha ubalozi ili awe Katibu Mkuu Kiongozi,,tunza hii post
Kwani Katibu mkuu kiongozi, na Katibu Myeka wa Rais, nani yuko juu zaidi??
 
Ahaaaaa wabongo bwana,,,huyo Ikulu hatoki kapewa cheo cha ubalozi ili awe Katibu Mkuu Kiongozi,,tunza hii post
Yasemekana ni kibe10 cha mamaa🙈🙈🙈🙈sa sijui wameachana au zile kashfa za kutoka na Kajala,mshanganga umechukiaaa
 
Vyeo huja na kuondoka, Rajab sidhani kama ameacha urathi wa kujivunia ni bora amaeondoka!
 
Kwasababu tuna watu smart wachache ndio maana ukishine kidogo unaonekana kwa haraka.

Nilivyokuwa mdogo nilikuwa nafikiri Mrisho mpoto ana akili sana na anaweza kuwa Rais, little did i know ! 😏
Swali la kizushi

Katika marais wetu, nani mwingine ni alma mater wa Ivy league university?
 
Masikini Stivu Mengele
Niombee msininange ,tafadhali niko chini ya miguu yenu, maisha aya, Dunia simama nishuke mie nimekoma, hii inakumbusha wakati Diwani anapigwa chini , mambo mengi kwa washikaji yalienda sivyo ,mipango ilivulugika sana ,siwezi mengine andika hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom