Pole sana ndugu yangu, tafuta mchepuko!

Pole sana ndugu yangu, tafuta mchepuko!

Huyo manzi kuna mahali atakuwa anamaliza activity. ..mbona wadada wengine kila muda ukiwa nae mnapiga kazi haswaaa tuu.
 
Na yy alikuwa anataka game daily. Huo ni uzembe no.1

Isitoshe, tangu ln mwanaume akategemea mwanamke mmoja. Akiumwa na ww unaumwa. Huo ni uzembe no. 2

Mind that, siku zote mwanamke anakuwa na adabu kwa issue hizo akijua una demu mwingine au unaweza kuwa na demu mwingine at any time t. Kumuonyesha vingine na hapo ni uzembe no.3.

Guys Pse do change.
Dah nimecheka sana aise....Watu humu ndani ni balaa
 
Hii ni ya kweli haswa, huyu bwana amekuwa akikutana na majanga haya ndani ya ndoa yake, kila akiomba haki yake anapewa visingizio, na yeye kwa ustadi mkubwa amekuwa akidocument kila excuse anayopata kutoka kwa mkewe.

Ndoa nyingi haziko salama, usiwaone wtu wanatoka wanaongozana na kucheka barbarani iukajua kila kitu kiko sawa!

View attachment 172169

Lbd haduu gud..au akipewa mzgo anasugua mpk mkewe anavmba hahaa unategemea 2mr atapewa tn kula
 
Tafuta nyumba ndogo nje, na usimuombe tena game
 
hahahaha hadi december ataandika sexual account statement afunge mahesabu.....poor him
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom