nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,349
- 3,910
Haaaaa Lady doctor
Hivi kati yetu ni nani wa kumtoa mwenzie out mwaya
kama vipi ni kwenda tu kupumzika ufukweni
tunywe mvinyo.
Uje na mumeo as mi nitakuwa na mwana siasa wangu
copy: chama
umeanza lini kutembea na wanasiasa? Vp Bishanga amezingua nini?
Last edited by a moderator: