Arushaone
Platinum Member
- Mar 31, 2012
- 15,237
- 13,567
hahahahahahaaa!!!!!
Mpenzi breakfast tayari? Tufanye fasta twende tukasake manoti ingawa nasikia kichwa kinagonga kwa ulabu wa besdei yangu jana.
hahahahahahaaa!!!!!
Unasema shika?
kaah, kaka huwezi kunifanyia hivi!!! Nahisi utakuwa sio ndugu yangu wa damuwewe haiwezekani kabisa kunifanyia hivyo
Mpenzi breakfast tayari? Tufanye fasta twende tukasake manoti ingawa nasikia kichwa kinagonga kwa ulabu wa besdei yangu jana.
mumeo kafumaniwa. tumeweka picha ili tusionekane wazushi wambea na washakunaku. kama bado huamini tutaweka video kabisa.
cc. Bishanga. mia
namuamini mume wangu!!!!!!!
Suleman wa kwenye bible alikuwa na wanawake kibao na masuria teke lakini hadi leo anatukukwa kwa hekima na busara. kwanini mwamsakama Bishanga
Hahaaa............vifaa mkuu, vifaa. Kazi hazifanyiki kwa ufanisi na mimi ninunulieni Ipad bwanaCc Elizabeth Dominic washington correspondent jf udaku,chunguza kwa undani hili tukio.
unamwamini au unajipa imani?
HIVI UNAFAHAMU KUWA PESA NI SABUNI YA ROHO BEST Mamndenyi
wajua pesa ndo inaleta maangamivu na kukupeleka usikotaka?
inabidi awe makini
We mwache.....eti anamwamini Arushaone angejua........
Ni sawa na kusema kuwa ladydoctor
kampenda Arushaone shauri ya pesa zake siyo?
ujue siyo mimi umesema wewe lakini.
Mamndenyi, nataka nikutoe out jioni hii!!!!!!
Haaaaa Lady doctor
Hivi kati yetu ni nani wa kumtoa mwenzie out mwaya
kama vipi ni kwenda tu kupumzika ufukweni
tunywe mvinyo.
Uje na mumeo as mi nitakuwa na mwana siasa wangu
copy: chama