pole sana RR. mm sitasema ni mipango ya Mungu bali hiyo ni kazi ya shetani
Mungu anatupenda daima siku zote na katuumba tumtumikie,haleti magonjwa wala shida
kwa vile shetani hawezi kuumba yeye kama mtawala wa dunia huua tena huwalenga wale tunaowapenda zaidi.
Pole sana RR. Mungu atawapeni malaika wengine wazuri kama alivofanya kwa Thobia
Amina.