Field Marshall we rudi tu janvini yaliyompata mzee ni ajali za kisiasa!!
Mzee John Malecela lost the election. Plain and simple. Na amejiabisha mwenyewe.
Field Marshall Es atamlaumu tena Nyerere? Mwalimu alipoandika kitabu kuhusu ubovu wa CCM, Field Marshall Es alisema Nyerere aliandika kitabu hicho kumpinga Malecela. Akaanza hata kumtukana Nyerere hapa Jamii Forums kwa sababu hiyo ambayo siyo sababu ya ukweli. Nyerere hakuandika kitabu hata kuhusu Kambona, mpinzani wake mkubwa aliyejaribu kumpindua na kumuua. So why Malecela? That's utter nonsense.
Malecela siyo CCM na CCM siyo Malecela. CCM is bigger than Malecela. Nyerere hakuandika kitabu kumshambulia Malecela. Aliandika kuhusu chama kinacho ipotosha nchi, chama ambacho kimeoza.
Wapiga kura wa Mtera ndiyo ambao walioamua kwamba hawataki kuwakilishwa tena bungeni na Mzee Malecela. Lakini hata ilipokuwa wazi kwamba Tingatinga ameshindwa katika preferential polls, Field Marshall Es aliandika na kudai kwamba wapinzani wa Malecela katika uchaguzi huo wamemwibia kura. Na kwa sababu ya wizi huo, ndiyo maana hata watoto wa Malecela mwenyewe wako "on the ground," as Field Marshall Es put it, kuhakikisha kwamba Mzee wao hadanganywi. With all the power and influence Malecela has in CCM, nani angethubutu kumdanganya na kumwibia kura?
Tatizo moja kubwa ambalo tunalo nchini ni kwamba kuna watu wanaojiona kama wana "natural right" or "divine mandate" to rule na kuwa viongozi wa nchi yetu because of what they are na pia kwa sababu they are members of certain families. Field Marshall Es aliwahi hata kuandika hapa Jamii Forums na kusema kwamba alilelewa Ikulu. Kusema"nililelewa Ikulu" ni ndoto tu. Hakulelewa Ikulu. Alilelewa Ikulu lini? Hakutuambia. Those are delusions of grandeur. She was so determined to enter Ikulu, through Malecela, that she even dreamt about it and may be even convinced herself that she was really reared there. Tangu lini? Utotoni? Hakuna ukweli wowote kwamba Field Marshall Es alilelewa Ikulu just as there is no truth in her claim she has a number of college degrees. Amewahi hata kujisifu hapa na kusema "sisi tuliosomea international politics" vyuoni. What international politics? What college? Anashindwa hata ku spell na kutumia correctly simple English words hata baada ya kuishi Merikani miaka mingi sana, according to her own testimony kwamba ameishi huko miaka mingi. College graduate gani huyo ambaye hajui hata simple English? Hizo ni ndoto tu kama zile za kwamba alilelewa Ikulu na kwamba Malecela atakuwa raisi wa Tanzania.
Nilikuwa nakuja hapa Jamii Forums kwa muda mrefu sana kabla ya kujiunga na nimesoma mengi sana kuhusu Watanzania wenzetu wanajiona kama walizaliwa kuwa viongozi wetu na ambao wanafikiri ni wao tu, na ndugu zao, wanaoweza kuongoza nchi yetu.
Watanzania wote tuishi kama wananchi wa kawaida. Hakuna hata mmoja kati yetu who is better than other people. This country does not belong to only a few people. Ukweli ni kwamba Malecela lost. Muda wake umepita. Concede defeat.
Field Marshall Es amewahi kutuaga hapa zaidi ya mara moja bila kwenda popote. Kila anaposema hivyo, anarudi tena hapa Jamii Forums. Na baada ya matokeo ya kura kule Mtera, aliandika kwa hasira na kusema "Kwaherini ya kuto onana tena."
Lakini bado yupo hapa. Hajaenda popote. Na ana haki kama sisi wote kuwa hapa Jamii Forums. Lakini hata akiingia tena Jamii Forums kwa jina lingine, Field Marshall Es will always be Field Marshall Es. Kubadilisha jina hakubadilishi mawazo na msimamo. Ataendelea kumtetea Malecela. Na watu watajua ni huyo huyo kwa sababu maandishi ya mtu yeyote, believe it or not, yana signature embedded in it even if you don't see it. The trail leads right back to you. Anybody with common sense can follow it.
Pia Field Marshall Es ana haki ya kumtetea Malecela. Lakini ni lazima iwe kwa sababu za ukweli. Kumbuka kwamba the leadership of this country is not meant to be the exclusive domain of a privileged few. And when it's time to go, it's time to go.
Kwaheri Mzee Malecela. You have served the nation well ingawa umejiabisha mwenyewe kwa kujaribu kung'ang'ania ubunge. It shouldn't have happened that way, considering your lofty status as a former minister of foreign of affairs na waziri wa wizara zingine through the decades; pia as a former prime minister and former vice president. You have had it all except the presidency. Wengi wetu tungependa ungeondoka after seeing the writing on the wall kama Mzindikaya na wengine. But you obviously did not want to see it or you simply refused to read it and see signs of the times.
In spite of all that, I hope that history will be kind to you and you will be remembered as a statesman.
Thank you for serving the nation and God bless you.