Pole mama Anna Mkapa, wengi wamekusahau

Baada ya hapa Waunguja na Wapemba walikumbilia Ulaya na kuomba ukimbizi. Mkapa alitembelea Uingereza waandishi wa habari walimhoji kuhusu watu kukimbia kwa vitisho vya dola, alijibu si kweli na msiwapokee, Tanzania hatuna matatizo.
 
Huwa nachukia sana watu wanaopongeza MAREHEMU
Wakati akiwa hai kwanini hamsemi?

Bira nijipongeze sijui na kitu gani, watanipongeza nipokuwepo wala kusikia. Unafiki tu
kama ww ni muongo na mnafiki mtu akikwambia ukweli huu utajisikiaje tena kwenye umati wa watu
 

Ila amezeeka sana
 
Pole sana mama Ana Mungu akupe faraja daima wewe na familia yako baba hayupo tena mtegemee Mungu tumaini letu
 
Mmmmmh huyu mama kazeeka mnooh lol, alikua anachepuka na Basir Mramba hadi akazaa nae mweeeeeh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…