Pole kwa watanzania ambao hela imewakataa

Sio kwamba pesa imewakataa ila wao kuogopa hayo masharti. Ndio maana wachache ndio matajiri.
 
Hongera sana Ndege John, kiukweli hata sisi tunatamani sana kuwa na 10m kwenye account, kuwa na apartment kadhaa mjini, kuwa na biashara zenye return kubwa. Ila ndio hivyo maisha yanatuchapa.
 
Hongera sana Ndege John, kiukweli hata sisi tunatamani sana kuwa na 10m kwenye account, kuwa na apartment kadhaa mjini, kuwa na biashara zenye return kubwa. Ila ndio hivyo maisha yanatuchapa.
 
binti kiziwi tunae mdogo wetu huku amekua tajiri.
Jambo la kufurahisha ndege JOHN
anakiri kabisa kwamba ni kwa Neema tu na sio nguvu zake, ameambatanisha na wimbo kusindikiza furaha ya baraka zake.
Kwanza huo wimbo naupenda sana.

Hanya…Mnyampaa uyu mufurhu furhu, lakini kama ilivyo ada ya watu wa kwetu, akili ipo ya kutosha. 😅
 
Eeh mkuu, pole sana kwa wale wanaumia. Sisi wengine tunaamka na hela ya kutosha lakini si kila siku ni siku. Ukiangalia hizi story za watu wenye milioni tatu, wengine wanaongea kwa kiburi ila ukweli ni kwamba kila mtu ana changamoto zake. Hata mwenye golf anajua kwamba pesa inakuja na inaondoka. Bora tuendelee kufanya kazi kwa bidii na tusiwe wanafiki.
 
Kwanza huo wimbo naupenda sana.

Hanya…Mnyampaa uyu mufurhu furhu, lakini kama ilivyo ada ya watu wa kwetu, akili ipo ya kutosha. 😅

Mughwari wa ukhaya.
Sasa maisha ndio yanaenda namna hii, sio unasubiri hadi ukwasi uwe mwingi, unaanza fujo mapema.

Anae gari, anae viwanja, elewa na kuzingatia neno viwanja, nyumba, viatu vya bei, hapo hatujaongelea 17 iphone aaaa huwehe mwakha ni ujie rue ughughura ndeghe.

Kwa ufupi ni kwamba, anaogelea kwenye dimbwi la utajiri. Anaelekea kilindini.

Mnyampaa namuelewa sana, tokea anaweka diary ya mambo yake kila siku. Sasa watu walikua wanafurahia anavyopost mahanfaiko na maisha yenye hitilafu, leo kuweka taarifa mambo yameanza kuwa tambarare ndio nongwa zinaanza.

In fact, huo wimbo niliusikia kwako japo sikuueleqa vizuri kwa vile kipaji kimefilisika hauna kabisa salio.
 
I hope unafahamu kuwa nimechekaaaa sana kwa uchaguzi wa maneno uliyoyatumia 😂😂

Hitilafu, anae, dimbwi.

Anha mwakha ne ujie khuhanga MO ungija 🤣

Ndege John oyeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…