Pole Frank, mchumba hasomeshwi

Hili jamaa zoba kweli,
afu unakuta ndugu yake alikuwa akimuomba hata elfu 10 tu atakuwa alikuwa mkali
bora kaliwa sasa na wengine wajufunze hapo
 
Yaaanii mimi nina kisasi na mmoja huyo, ngoja tu!! Nikitulia naanza vita ya kisaikolojia...yaaanii HATA HELA YA MATUMIZI USITOE, HATA IWE JERO KWA SIKU!! DHAMBI KUBWA SANA KUSOMESHA
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kusomesha demu hata siku moja..kwa kipi hasa kwa mwanamke kikuchanganye mpaka usomeshe...
 

Aisee kumbe shida hivi
 

dah kweli we great thinker..
 
kabisa sijui kama atakuja amuamini msichana tena

Atasahau tu na kusonga mbele, ingawa inaumiza sana. In fact mara mia ukasomesha mke ambae mnaishi wote, sio mchumba. Unaweza kujiua
 
Nilisomesha mwanamke tangu kidato cha 5 mpaka chuo kikuu sijutii na ndo mke wangu na amekuwa msaada mkubwa sana amebadilisha maisha yangu.
 
Kuna friend of my friend hadi navyoandika hapa yupo kama kachanganyikiwa kisa uo upuuzi wa kumsomesha girlfriend ..alimtoa demu kiijini kamleta mjini kamsomesha kuanzia qt mpaka demu kamaliza degree demu kaanza kazi tu jamaa akapata trip ya kwenda kwa obama kurudi demu ana mimba jamaa akarukwa na akili ukimuona unaweza muonea huruma yaani hata kazi kaachishwa sababu ya matatizo ya akili kisa mwanamke,,na lidemu lenyewe ku#%$*nina zake jamaa aliyempa mimba kamkacha.......
Hawa viumbe hawana huruma hata kidogo nikimwangaliaga mchizi roho inaniumaga sana.....
 
Ndiyo maana ya "mahari". Unapomvua nguo mwanamke inamaanisha kuwa upo tayari kumfanyia jambo lolote "in return"... Gharama ya kumsomesha haiwezi kuzidi 10mil... Kuna wanaume wanaonga 10mil kwa usiku mmoja...
 
frank yupi mkuu, yule aliesoma mwembeni secondary school alikuwa akiishi iringo street ama??
 
Hiyo ni ajali kazini! Mnahonga vingapi na mnaowahonga hamuwaoi? Watu wanahonga magari/majumba ya mamilioni ijekuwa kusomesha kwa milioni mbili tatu? Sema kinachouma ni kumpoteza umpendae ila sio pesa!
 
Nilisomesha mwanamke tangu kidato cha 5 mpaka chuo kikuu sijutii na ndo mke wangu na amekuwa msaada mkubwa sana amebadilisha maisha yangu.

Hongera sana mkuu! Jamii inapaswa kujifunza kwa watu kama wewe,sio wote wasomeshwao husaliti na sio wasaliti wote walisomeshwa na wanaowasaliti!
 
kusomesha mtoto wa mwanaume mwenzio ni upuuzi tyu.....ila kila kitu kina tokea ili tujifunze kupitia tatizo....sku jua ata na hawa JWTZ huwa nao wana oshewa...!!

Saf dokta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…