Pole apewayo mwanaume baada ya kuduu inamaanisha nini?

Pole apewayo mwanaume baada ya kuduu inamaanisha nini?

Pale ulipogonga alafu ukapewa pole hapo ulitakiwa ndo uulize hapo utapata jibu la hakika zaidi
Hawa viumbe siyo vyepesi kukuambia ukweli
Lkn pia unaweza kumuuzi pia kibao kikabadilika

Mtu mmoja tu alimuuliza mkewe kwa nn huwa unanipokea napokuja na kitu mkononi

Mke tangu siku ile hampokei kabisa
Mke ilimuudhi
 
Ukiambiwa asante ina maana katika huwo mchezo wewe ndio mshindi, ila sasa ukiambiwa pole ina maana yeye amekushinda sasa anakupa pole kwa mchezo maana anakuwa amekukimbiza hadi jasho limekutoka kisawasawa, nimejaribu kutumia lugha ya nzuri natumaini angalau utakuwa umeelewa kwa sehemu.
 
Imenibidi nicheke tu maana jibu nilishapata
 
Mimi cjawahi kuiitikia hyo kauli
(Nahc kama ananichora)
 
Anavyokuwa anahangaika hadi afike nisipompa hio poleh naona sijamtendea haki kwa kweli...
 
Roho inamuuma...anakuonea huruma!Hela unampa nyingi lakini ile raha is inverse proportional to the money.Kama binadamu lazima aingiwe na ka imani kidogo.
 
Wanasemaga sijui eti ni kama mwanaume kakimbia sijui uwanja wa mpira mara ngapi sijui sasa lazima umpe mtu pole sio kazi ndogo
 
Hahahahahaha nimesoma comments huko juu nimecheka sana....ata Mimi natoaga hiyo pole...wote tunaenjoy ndio ila a man wanasema wataalamu anakuwa anakimbia mbio zaidi ya kilometre 70 during sex.....so it's obvious atachoka zaidi kuliko a woman......hivyo a caring woman hana budi kutoa Asante love....na pole pole mpenzi.
Nawapa pole wale ambao hawajawahi kuambiwa pole....
 
Wanasemaga sijui eti ni kama mwanaume kakimbia sijui uwanja wa mpira mara ngapi sijui sasa lazima umpe mtu pole sio kazi ndogo
Haijalishi 7 km au kilomita ngapi.Speed ya baiskeli ya miti ndio inayomata hapa.Boing hazitakiwi kabisa.
 
Ukimwi Uliokua Unajikunja Na Kujikakamua Kuuchota Huku Ukisimamia Kucha Ndo Anakupa Pole.
 
Back
Top Bottom