mankafaraja
JF-Expert Member
- Aug 15, 2015
- 218
- 271
Mkuu hebu jaribu kuninyambulishia hasa kama wewe wanawake huwa mnamaanusha nini ?
Kweli hii kauri imenitesa muda mrefu ndo maana nikaianika hapa jamvini
kwavile huwa mnagugumi na kuharibu sura zenu wakt wa kushusha mzigo huwa tunahisi mnaumia! ovaaa!