Unamaanisha POLE au POLE POLE?Wakuu habari za weekend!!!
Natanguliza shukrani zangu kwenu kwa wote mtakaosoma ujumbe na wale mtakaonijibu na hao watakaopita kimya
Nimekuwa nikitatizwa na hili jambo pindi mwanaume anapomaliza kubanjuka mwanamke anatoa neno hili
"Pole pole sana mpenzi" huku mwanaume ukitokwa na jasho na mhemo wa juu kama ulikuwa unambio ndefu sana
Hivi hii inaashiria nini kwa mwanaume?
Na mwanamke anakuwa na maana gani kwa mume
Natanguliza shukrani
Hebu wanawake tupeni jibuWakuu habari za weekend!!!
Natanguliza shukrani zangu kwenu kwa wote mtakaosoma ujumbe na wale mtakaonijibu na hao watakaopita kimya
Nimekuwa nikitatizwa na hili jambo pindi mwanaume anapomaliza kubanjuka mwanamke anatoa neno hili
"Pole pole sana mpenzi" huku mwanaume ukitokwa na jasho na mhemo wa juu kama ulikuwa unambio ndefu sana
Hivi hii inaashiria nini kwa mwanaume?
Na mwanamke anakuwa na maana gani kwa mume
Natanguliza shukrani
Simple sana mkuu hiyo pole maana yake jamaa anakaribia kupigwa kizinga muda sio mrefu

Ni safari ndefu

Mzigo uliotua kwake ni lishe tosha ndio maana anashukuru

Hizo zote hutolewa kwa nyakati tofauti mkuuUnamaanisha POLE au POLE POLE?
1.POLE maana yake kazi nzito na umepunguza protini zako
2.POLE POLE maana yake yawezekana anaumia. Huenda ikawa mashine yako kubwa inamuumiza
Nimekusoma mkuu ila natamani wanawake wajibuPole na ahsante ni ishara ya shukurani kwa mwanamke. Mimi najisikia furaha sana mwanamke akiniambia hivyo. Na niwape siri mwanamke unapokuwa naye 6*6 na ukamridhisha 100% kwa wakati huo huwa hawafikirii jingine tofauti na wewe. Na huwa yupo tayari kukufanyia chochote ili ufurahi. So pole humaanisha huruma maana huwa tunatokwa na jasho jingi na jasho ni ishara ya kuchoka. Pia himaanisha ahsante
Yaani mkuu huwa napiga kimoja tu cha pili mpaka nilazimishe maana anakuwa kachoka mbayaHuwezi sikia pole kwa mkeo wa ndani sababu wanaume wengi nyumbani huwa mzinguo tu. Kamoja then chali
Hii comment nafikiri imemaliza ukweli na nimependa namba moja.Ina maana zaidi ya moja.
1.Kazi uliyofanya ni nzito imeridhisha na hivyo itakuwa imekuchosha.(moyoni kwake wewe ni shujaa)
2.Umejihangaisha na ukajitahidi lakini kazi haijaridhisha,na kwa hiyo unapewa pole kwa udhaifu ulioonyesha. (inaambatana na huruma moyoni)
3.Ulipagawa ukawa kama kichaa mambo yakawa ni vululuvululu tu unapewa pole kwa ushamba wako (na kicheko cha dhihaka moyoni)
Ina maana zaidi ya moja.

Wake wa pesa wanakwambia fanya haraka hii huduma inasubiriwa na watu wengne mda pole kapewe na mkeoTatizo mkuu sio wale wa pesa wa pesa nimeshajaribu hawanaga hizo tena swali yao hi hili
"Hujamalizatu"
Wale hawanaga pole kabisa mkuu maana wanapenda kibao kimoja tu kile cha kwanza hawataki cha poli maana wanasema huwa tunakawia kupiga bao
"Wanaoniambia hivi" maana yake unatembea na zaidi ya mmoja. No wonder wanakupa pole. Unajiua faster faster. Acha uasherati. Hiyo energy ipeleke kwenye mambo ya maendeleo.Wanaoniambia hiv huwa hawaombi hela katk kipindi cha namna hii
Nilishawagundua hawainguzagi kabisa mambo ya pesa kunako wakati huo
Kama ni kuomba anaweza potea muda akija kuonana pasipo faragha ndo anaomba hata ukimwambia huna hawanashida.
That is drama at work my friend, subiri mzingaWakuu habari za weekend!!!
Natanguliza shukrani zangu kwenu kwa wote mtakaosoma ujumbe na wale mtakaonijibu na hao watakaopita kimya
Nimekuwa nikitatizwa na hili jambo pindi mwanaume anapomaliza kubanjuka mwanamke anatoa neno hili
"Pole pole sana mpenzi" huku mwanaume ukitokwa na jasho na mhemo wa juu kama ulikuwa unambio ndefu sana
Hivi hii inaashiria nini kwa mwanaume?
Na mwanamke anakuwa na maana gani kwa mume
Natanguliza shukrani
Haya mkuu lkn ujue hii ni njia nyingine"Wanaoniambia hivi" maana yake unatembea na zaidi ya mmoja. No wonder wanakupa pole. Unajiua faster faster. Acha uasherati. Hiyo energy ipeleke kwenye mambo ya maendeleo.
ni kujali tuu na upendo.. na ku`appreciate the energy u used to make her and urself cum...Wakuu habari za weekend!!!